Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Sadaka haichagui nani katoa na inapokelewa na kutumika,mbatia kula mawe
Nape yule vuvuzela wa CCM kamuweka mahali pabaya sana Mbatia, akihutubia mkutano mjini Singida ulioonyeshwa na Startv leo amemtaka Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi amuulize boss wake Mbatia alipata wapi pesa zilizotumika
Kufanyia Uchaguzi ndani ya NCCR mageuzi.
Mytake
Hili swali limeficha mengi ndani yake ni vizuri Mbatia ajibu mapema kabla hali ya hewa haijachafuka.
Naona malori sasa yanapiga kazi kujaza watu uwanjani, na nasikia kuwa Star TV wamekatisha kurusha hewani mpaka hili zoezi likamilike.
Ndiomana mi huwa nasema hivi, Kitendo cha CHADEMA kuungana na viongozi kama Mbatia na Lipumba ni kosa la karne, kama mtu ni mfatiliaji mzuri wa siasa utagundua mission ya Mbatia since mfumo wa vyama vingi vilipoaanza, Mbatia ana historia ya kutumika na CCM kuhujumu upinzani mfano uchaguzi wa Zanzibar wa 2000, So kwa hali hii tutaendelea kusikia mengi lakini ukweli utabikia kuwa tumeshapotea njia lakin hili tutaeelewa mwisho wa safari na sio sasa.
Mnaficha nini sasa mbatia alipewa pesa na ccm nadhani watu wanajua.
Mnaficha nini sasa mbatia alipewa pesa na ccm nadhani watu wanajua.
pamoja na mapesa yote!!!! Halima Mdee ni kiboko yenu!!!!
Nimechekaje leo lakini Mbatia ni kiongozi mzuri tumeona hata leo jinsi anavyotia vijana productive kama kina kisandu, ccm hebu muacheni apumuzike.
Kama ni hivyo kuna sababu ya Nape kuuliza swali ambalo jibu analo?!
Ndiomana mi huwa nasema hivi, Kitendo cha CHADEMA kuungana na viongozi kama Mbatia na Lipumba ni kosa la karne, kama mtu ni mfatiliaji mzuri wa siasa utagundua mission ya Mbatia since mfumo wa vyama vingi vilipoaanza, Mbatia ana historia ya kutumika na CCM kuhujumu upinzani mfano uchaguzi wa Zanzibar wa 2000, So kwa hali hii tutaendelea kusikia mengi lakini ukweli utabikia kuwa tumeshapotea njia lakin hili tutaeelewa mwisho wa safari na sio sasa.
Nape yule vuvuzela wa CCM kamuweka mahali pabaya sana Mbatia, akihutubia mkutano mjini Singida ulioonyeshwa na Startv leo amemtaka Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi amuulize boss wake Mbatia alipata wapi pesa zilizotumika
Kufanyia Uchaguzi ndani ya NCCR mageuzi.
Mytake
Hili swali limeficha mengi ndani yake ni vizuri Mbatia ajibu mapema kabla hali ya hewa haijachafuka.
kwa hiyo halima mdee ni kiboko ya mbatia?
Halima mdee ni kiboko ya mbatia+pesa za ccm
Akijibu ndipo ataibua mengi zaidi bora anyamaze make ataombwa kueleza pia bungeni ameingaje aliyempa ubunge walianzia wapi mpaka akapewa ubunge,eti mbatia naye anajiita mpinzani aibu kweli.Nape yule vuvuzela wa CCM kamuweka mahali pabaya sana Mbatia, akihutubia mkutano mjini Singida ulioonyeshwa na Startv leo amemtaka Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi amuulize boss wake Mbatia alipata wapi pesa zilizotumika
Kufanyia Uchaguzi ndani ya NCCR mageuzi.
Mytake
Hili swali limeficha mengi ndani yake ni vizuri Mbatia ajibu mapema kabla hali ya hewa haijachafuka.
Huna ujualo ruzuku ni shilingi ngapi na uchaguzi uligharimu sh ngapi.Chama kina ruzuku,
Nape kama MC wa CCM atueleze Hesabu za Mali za Watanzania walizowekeza Enzi za mfumo wa Chama kimoja Zinakaguliwa na nani? Mpaka sasa zimetengeneza faida kiasi gani? Wale waliohujumu mali za Jumuiya ya Wazazi na kufungua Benki Hewa chini ya M/kiti wao, wamechukuliwa hatua zipi za kinidhamu so far? Viwanja vya michezo zinaingiza kiasi gani kwa mwaka?.... Tunajua kuwa MNCs like Barrick, Symbion, Agreco, Songas, Resolute Gold, Geita Gold Mine, British Gas et huwa wanachanga trillions kugharamia uchaguzi wa CCM:; Swali. Je ? Matumizi ya fedha hizo ni sehemu ya mikataba ya Uchimbaji madini CCm waliyoingia?...Akamuulize kwanza Mwenyekiti wa chama chao cha MACCM, zile bilioni chungu nzima alizotumia kwenye kampeni za 2005 na 2010 alizipata wapi!?