Yule ni mgonjwa wa mirembe hawezi kuwahadaa watu kwa muda mrefu...
Aisee wanaccm hivi nyie ni vichaa wa boding?au day?
Yule ni mgonjwa wa mirembe hawezi kuwahadaa watu kwa muda mrefu...
Na declare interest mie sio mfuasi wa chama chochote tanzania ila kwa maneno haya ya nape ni kweli ccm wamedhamilia kuwamaliza kabisa ukawa na hizi zinaitwa siasa za maji taka, kwa sababu ukishatoa maneno ambayo yatazua mafarakano kati ya dr slaa, mbatia, mboye, katibu mkuu wa nccr mageuzi na prof. lipumbana, unataka nn zadi ya hapo? mbali zaidi ni kutaka kumuondoa lissu kwenye kiti cha ubunge mwakani
Kinana hajaongea lolote la maana , kama lipo iwekwe hapa na Gambas.....
Na declare interest mie sio mfuasi wa chama chochote tanzania ila kwa maneno haya ya nape ni kweli ccm wamedhamilia kuwamaliza kabisa ukawa na hizi zinaitwa siasa za maji taka, kwa sababu ukishatoa maneno ambayo yatazua mafarakano kati ya dr slaa, mbatia, mboye, katibu mkuu wa nccr mageuzi na prof. lipumbana, unataka nn zadi ya hapo? mbali zaidi ni kutaka kumuondoa lissu kwenye kiti cha ubunge mwakani
tunameamua kurusha mkutano wetu kupitia star tv kukinadi tanzania nzima, karibuni wana singida wote.
Nawasilisha.
tuko pamoja.
eh eh eh nyie maccm mkisikia UKAWA na LISSU mnatamani hata msijulkane kama ni maccm...kitu gani cha maana alichoongea nape?TANGU SA9 MPAKA saa12 na dakika13 nilikuwa naangalia star tv, hakuna lolote la maana zaidi ya kumtukana Mbatia, lissu na mzee mtei, kidogo sana na dr slaa!! mwigulu kidogo ndo kaongea pointi kuwa hatapeleka mswada wa kufuta misamaha ya kodi,,,vingine hakuna kitu!!
Mkuu uko wapi hii ndo habari ya mujini kwenye magazeti, blogs na mitandao mbalimbali fungua angalia. Au jf mmuunasema kweli ? Mi siamini bhana !
ha ha ha,naona una usongo sana.subiri taarifa ya habari utaona kinana amesema nini.Kwa nini hamtaji points walizoongea,mnajua hamuwezi danganya,kitu kilikuwa live
haya sasa ulikua unasema hajaongea point,naona unajikoki sasa.na amesema ni jukumu la ccm kuondoa hayo mapungufu ya rushwa,urasimu n.kKinana anasema watumishi wa serikali ya CCM ni wabadhilifu,te,teh
Asubiri CAG atakapokagua mahesabu atapata details. Sidhani kama ni sahihi vyama kuulizana pesa zao wametoa wapi. Kama ni sahihi basi vyama vyote vitupe fedha zao wanazotumia kuzunguka mikoani zimetoka wapi!Nape yule vuvuzela wa CCM kamuweka mahali pabaya sana Mbatia, akihutubia mkutano mjini Singida ulioonyeshwa na Startv leo amemtaka Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi amuulize boss wake Mbatia alipata wapi pesa zilizotumika
Kufanyia Uchaguzi ndani ya NCCR mageuzi.
Mytake
Hili swali limeficha mengi ndani yake ni vizuri Mbatia ajibu mapema kabla hali ya hewa haijachafuka.
Wamegundua hatuangalii tena TBC wameona wajaribu Star Tv kumbe nayo wanaangalia wanaolazimika tu..wenye options aah wapi.Duh! Kwa hivo taarifa ya habari ya saa 11 jioni hatupati? Kwa nini wasiitumie TBC yao? Walianza na RFA pale Tabora na sasa StarTV kwa nini wakati TBC ipo?
Nape yule vuvuzela wa CCM kamuweka mahali pabaya sana Mbatia, akihutubia mkutano mjini Singida ulioonyeshwa na Startv leo amemtaka Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi amuulize boss wake Mbatia alipata wapi pesa zilizotumika
Kufanyia Uchaguzi ndani ya NCCR mageuzi.
Mytake
Hili swali limeficha mengi ndani yake ni vizuri Mbatia ajibu mapema kabla hali ya hewa haijachafuka.
Ndiomana mi huwa nasema hivi, Kitendo cha CHADEMA kuungana na viongozi kama Mbatia na Lipumba ni kosa la karne, kama mtu ni mfatiliaji mzuri wa siasa utagundua mission ya Mbatia since mfumo wa vyama vingi vilipoaanza, Mbatia ana historia ya kutumika na CCM kuhujumu upinzani mfano uchaguzi wa Zanzibar wa 2000, So kwa hali hii tutaendelea kusikia mengi lakini ukweli utabikia kuwa tumeshapotea njia lakin hili tutaeelewa mwisho wa safari na sio sasa.