Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

Yani hii ni aibu haswa,mkutano umejaa mawaziri manaibu mawaziri viongozi wa kutosha,ila watu wachache hata mkutano wa diwani wa chadema sio hivi,hongereni wana singida kwa kuwachoka hawa magamba.
Unajua kuhesabu kweli wewe au wingi wa watu unaupima kwa vigezo gani make idadi hii ya watu ni kubwa kuliko kawaida.
 
Nape anasema wazi kuwa jimboni kwa lisu ni hovyo hakuna maendeleo hata nusu lisu ni mzigo kwa wanasingida.
 
kuna umati mkubwa balaa, yani hata barabara upande wa pili umefurika...watu ni wengi balaa
Angalia Star tv mujionee maajabu!
 
Mwenyekiti wa chadema jimbo la Lisu amemwaga manyanga na kujiunga na ccm.

Anasema ndani ya chadema hakuna demokrasia,hakuna vikao bali ni watu wawili wakiamua hakuna mtu wa kuhoji anasema hiyo siwa sawa.

Anasema alichukiwa na chadema baada kuhamasisha ujenzi wa choo cha shule akaambiwa asifanye hayo maendele hayo.
 
Andrea anaongea live muda huu star TV, ni mwenyekiti wa CHADEMA Singida mashariki.

Anamlaani vikali Lissu kukwamisha maendeleo haswa kuhujumu maendeleo ya jimbo lao.
 
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema , anakiri amehongwa viwanja kwa ajili ya uchimbaji madini yeye na Mwenyekiti wa CCM Moa wa Singida , na kupewa milioni 40 na kampuni ya wawekezaji hivyo ndio maana anaenda CCM ......aibu kweli hiii
 
Naona malori sasa yanapiga kazi kujaza watu uwanjani, na nasikia kuwa Star TV wamekatisha kurusha hewani mpaka hili zoezi likamilike.

hahahaha. Mkutano umejaa viongozi wa chama. Wananch hawapo nasikia wamegoma kupanda magari yao
 
[mmaranguoriginal.;mbona cdm mlichangisha mapesa ya wananchi kupitia star tv hatukulalamika,wewe ni machicha ya mbege kweli[

hawawezi kutumia TBC wanajua wananchi walio wengi hawaangalii TBC ya ccm
 
Mwenyekiti wa chadema jimbo la Lisu amemwaga manyanga na kujiunga na ccm.

Anasema ndani ya chadema hakuna demokrasia,hakuna vikao bali ni watu wawili wakiamua hakuna mtu wa kuhoji anasema hiyo siwa sawa.

Anasema alichukiwa na chadema baada kuhamasisha ujenzi wa choo cha shule akaambiwa asifanye hayo maendele hayo.
Sema pia kuwa amekiri kuhongwa viwanja vitatu yeye na Mwenyekiti wa CCM Mkoa kwa ajili ya uchimbaji , na pia kampuni ya wawekezaji iliwahi nag shilingi milioni 40 .......
hivi mbona hakuna watu kwenye mkutano huo .......
 
Unajua kuhesabu kweli wewe au wingi wa watu unaupima kwa vigezo gani make idadi hii ya watu ni kubwa kuliko kawaida.

eh eh eh wala usiseme mengi waambie watu waangalie star tv waangalie wenyewe! maajabu !
 
Yule ni mgonjwa wa mirembe hawezi kuwahadaa watu kwa muda mrefu...
 
Back
Top Bottom