Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

Duh! Kwa hivo taarifa ya habari ya saa 11 jioni hatupati? Kwa nini wasiitumie TBC yao? Walianza na RFA pale Tabora na sasa StarTV kwa nini wakati TBC ipo?
 
waziri anasema ccm oyeeeee...... wananchi wamenyamaza kimya.
Ebu tuupe muda nafasi huenda wananchi wakafanya jambo.
 
Tunameamua kurusha mkutano wetu kupitia star tv kukinadi Tanzania nzima, karibuni wana Singida wote.

Nawasilisha.
zile ajali za Singida nilijua zitazaa jambo kama hili kwa hiki Chama kwani kinachowasaidia nguvu ya damu.Kuna sababu ya kuomba sana kwa ajili ya hizi damu kila zikimwagika kwenye ajali na kwingineko kinapata nguvu.Watu wa maombi ombeni wekeni ushabiki wa vyama pembeni.Asikiae na afahamu.
 
tunaomba camera ielekeze ilipo nyomi ya watu kama mikutano ya ukawa au ukawa imekula dili na star tv iwe inaonyesha watu waliovaa nguo za ccm tu ambao sio wengi
 
zile ajali za Singida nilijua zitazaa jambo kama hili kwa hiki Chama kwani kinachowasaidia nguvu ya damu.Kuna sababu ya kuomba sana kwa ajili ya hizi damu kila zikimwagika kwenye ajali na kwingineko kinapata nguvu.Watu wa maombi ombeni wekeni ushabiki wa vyama pembeni.Asikiae na afahamu.

Tunakushukuru sana .
 
mh! kila shetani na mbuyu wake, yaani mkutano bila vicky hauendi watu wameanza kutawanyika
 
Kinana ana malengo zaidi ya mkuu wa chama teh teh
 
jamani ngudu bil mbila za mabomba ya plastic, wakazi hawafiki elfu mbili, majanga
 
Amosi makala naibu waziri wa maji anaweka wazi kuhusu mipango ya maji maeneo mbali nchini mfano mradi wa ziwa victoria mnavyokwenda vema.
 
duh! Kwa hivo taarifa ya habari ya saa 11 jioni hatupati? Kwa nini wasiitumie tbc yao? Walianza na rfa pale tabora na sasa startv kwa nini wakati tbc ipo?

mbona cdm mlichangisha mapesa ya wananchi kupitia star tv hatukulalamika,wewe ni machicha ya mbege kweli
 
Yani hii ni aibu haswa,mkutano umejaa mawaziri manaibu mawaziri viongozi wa kutosha,ila watu wachache hata mkutano wa diwani wa chadema sio hivi,hongereni wana singida kwa kuwachoka hawa magamba.
 
zile ajali za singida nilijua zitazaa jambo kama hili kwa hiki chama kwani kinachowasaidia nguvu ya damu.kuna sababu ya kuomba sana kwa ajili ya hizi damu kila zikimwagika kwenye ajali na kwingineko kinapata nguvu.watu wa maombi ombeni wekeni ushabiki wa vyama pembeni.asikiae na afahamu.

kumbee
 
Mradi wa magu bariadi nao sasa anakwenda kukamilika kwa mwaka huu wa pesa kama bajeti ya maji itapita by makala.
 
Back
Top Bottom