Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

siku ya harusi yangu NAPE atakua mc wangu!naona anafaa kwa kazi hiyo
 
ITNOJEC

Kikwete atakua ni mgombea pekee hivyo ni aidha wamkubali au wamkatae kwa kura. Nimesomeka Mkuu?
 
Dr. Augustine Mrema ndani akivalia suti tayari kwa ubwabwa
 
ITV nao wmekatisha matangazo sasa wanaonesha mkutano wa wala rushwa Komba ndo kinara tunasubiri alale tuu
 
CHADEMA hizo ni mvua za rasha rasha, masika bado, CCM inazaliwa upya na kuja kikamilifu tayari kwa uchaguzi serikali za mitaa mwakani na uchaguzi mkuu 2015
 
Mbona nasikia nafasi ni kumi tu na wagombea ni kama 31 na ndiyo maana watu wanahisi mtifiano utakuwa mkali sana????

Fafanua kuhusu hili la wajumbe hao wanaotegemewa kuchaguliwa leo.

Kwa mjibu wa myangazaji amesema wajumbe watakao chaguliwa ni 10 toka bara na 10 toka visiwani zamani no ya wagombea sijajua ngoja nifuatilie then tatajuzana
 
Tbc wanarusha mkutano wa CCM unaofanyika Chimwaga ni mkutano wa nane utakaofunguliwa na JK, pia utafanyika uchaguzi wa wajumbe 20 wa NEC

TBC-CCM, bhana vyama vingine wanavibania kurusha matangazo yao
 
Mk.weree anakatika magoma jukwaani hadi raha, kumbe ndo fani yakee, ndo maana wanaiva sana na DAIMONDO
 
Nashauri Diamond akagombee ujumbe wa Nec maana ukiwa unajua kuimba kama Komba unapeta na Diamond anamzidi Komba mara kumi tehe tehe.
 
Sahihisho ni kwamba mkutano huo haufanyiki Chimwaga, bali unafanyika ukumbi wa CCM Kizota. Chimwaga ni jengo la UDOM sasa japo ukumbi wake huwa unakodishwa, kwa kelele na vurugu za kisiasa hapo zinaweza kuharibu usikivu kwasababu ghorofani kuna baadhi ya ofisi za wahadhiri. Ni taarifa for knowledge tu!
 
Back
Top Bottom