Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

Kawekani matanga..................tuwaletee ubwabwa wa hitma!
KIONGOZI BORA ATATOKA NDANI YA CCM.............mtake msitake habari ndio hizo!!!!!!!!!

Nyie mlivyowatapeli wananchi, mmejidai wanamaisha itabidi waje kwa miguu jangwani kufika jangwani mnawachangisha hao hao wananchi wenye hali ngumu........pesa zao mlizochangisha siku ile jangwani mmezipeleka wapi? Ndugu zangu watanzania si watu hawa............matepeli tu bora hata NCCR-Mageuzi tunaijua ya wazalendo sio hii ya kiukoo.
 
Kwani nyie mlisema nini pale jangwani? Zaidi ya mafisadi, vua gamba, CCM imekufa, hapatoshi, damu itamwagika..........ugumu wa maisha kisha mkenda kuwachangisha hao hao wenye ugumu wa maisha.......subirini huo msiba.........uchuro wenu huo mpaka mzee wa watu Makani kajifia, maana mnahamu ya ubwabwa wa hitima.
 
Kwa nini Tanzania masikini?Muulizeni Mtei yeye sindio alikuwa waziri wa fedha wakati wa nyerere, yeye sindio aliemtia mkenge nyerere sasa anataka kuruka viunga? Muulizeni baba yenu huyo..........halafu muulizene na Freeman wenu huyo alikuwa hachori benki alivyokuwa akifanya kazi huko? Sasa hakuwa peke yake lakini yumo katika listi ya wahujumu uchumi wa nchi hii................kwa hiyo anapozungumzia ufisadi anaujua vizuri, na je Slaa hakula hela za kanisa kwa hiyo hawa ni wataalamu wa maswala ya ufisadi ndio maana hawana hoja nyingine ila hizo.
 
Ama kwa hakika kumekuwa na upotoshaji mkubwa ktk mkutano wa leo hususani kwa wale wasioitakia mema CCM.Nikianza na huyu bwana alie leta mada hii,yeye binafsi amejalibukutoa baadhi ya maelezo ambayo kimsingi si ya kweli;mfano mojawapo ni kuhusu suala la wanachama kuletwa kwa magari,sasa nalo hili linahitaji propagana:hivi hata kama ni wewe ukihitaji leo kuelekea ktk mkutano wa CDM KUSIN hivi hautapanda GARI?Je,watu wakutafsiri kuwa umehongwa na cdm.Hapa swala la msingi NI KULETA HOJA ZENYE MSINGI. HALAFU WEWE NA CHAMA CHAKO MKUWA NA TABIA YA KUBATIZA MAJINA VIWANJA VYOTE MNAVYO FANYIA MIKUTANO YENU.HIVI HAMUON HAYA HATA KIDOGO

Inawezekana wewe ndio hukulipiwa nauli na posho,lipo tangazo lililotolewa na ccm kuwa usafiri ni bure.Wewe ndio utakuwa unapotosha ukweli ndio huo.Matangazo walioyatoa ccm kuwa tutazungumza,ni tofauti kabisa na walichozungumza katika mkutano.Mapungufu kama hayo kwa chama tawala huyaoni?
 
Kawekani matanga..................tuwaletee ubwabwa wa hitma!
KIONGOZI BORA ATATOKA NDANI YA CCM.............mtake msitake habari ndio hizo!!!!!!!!!

Nyie mlivyowatapeli wananchi, mmejidai wanamaisha itabidi waje kwa miguu jangwani kufika jangwani mnawachangisha hao hao wananchi wenye hali ngumu........pesa zao mlizochangisha siku ile jangwani mmezipeleka wapi? Ndugu zangu watanzania si watu hawa............matepeli tu bora hata NCCR-Mageuzi tunaijua ya wazalendo sio hii ya kiukoo.

Kama kawaida yenu,mipasho kwa saana hoja hamna,hivi kweli CCM hakuna hata mmoja anayeweza kuja na kujibu hoja hizo? daah! kazi ipo
 
Ama kwa hakika kumekuwa na upotoshaji mkubwa ktk mkutano wa leo hususani kwa wale wasioitakia mema CCM.Nikianza na huyu bwana alie leta mada hii,yeye binafsi amejalibukutoa baadhi ya maelezo ambayo kimsingi si ya kweli;mfano mojawapo ni kuhusu suala la wanachama kuletwa kwa magari,sasa nalo hili linahitaji propagana:hivi hata kama ni wewe ukihitaji leo kuelekea ktk mkutano wa CDM KUSIN hivi hautapanda GARI?Je,watu wakutafsiri kuwa umehongwa na cdm.Hapa swala la msingi NI KULETA HOJA ZENYE MSINGI. HALAFU WEWE NA CHAMA CHAKO MKUWA NA TABIA YA KUBATIZA MAJINA VIWANJA VYOTE MNAVYO FANYIA MIKUTANO YENU.HIVI HAMUON HAYA HATA KIDOGO
ni lazima ufanye kila jitihada kutetea jamaa zako;
  • unapaswa kueleza usahihi wa habari husika ili kuondoa upotoshaji hasa kwa walio mbali na DAR/CCM
  • Tatizo la CCM ni kusafirisha watu toka mbali sana eneo la tukio mfano niliona kwenye mkutano walio fanya MBY watu walisombwa toka mbozi, kyela, rungwe, & co si aja hata DAR watu walitoka MOROGORO, PWANI & co
  • fikiria kwa makini kinacho hamasisha majina kubadilika nini?
 
ukiwaacha komba,temba,chege na hadija kopa hakuna mwingine aliyeongea la maana zaidi ya hawa hapo jangwani
 
Kwanini kwenye Mkutano huu Mheshimiwa Rais wetu JK hakuwepo, maana huyu angalau angeweza kutupatia au kutoa ufumbuzi wa matatizo yanayolikumba taifa letu na watu wake. Hawa wametupotezea muda wetu, si lolote wala chochote.
Mheshimiwa Mwakyembe acha kuogopa sumu, sema tu ukweli wako watanzania tuna imani nawe na tutazidi kukuombea upate afya njema kama tulivyofanya wakati unaumwa.
Mheshimiwa Magufuli rudisha imani yetu kwako kwa kurudisha nyumba za serikali kabla watanzania awajakasirika zaidi.
 
Acha upotoshaji wakati mwingine si lazima sana kuchambua mambo ya CCM, ambayo ni dhahiri yapo nje ya uwezo wako, ukweli ni kwamba umeupindisha ukweli na umepotosha kwa kiasi kikubwa yale yaliyozungumza kwenye Mkutano wa leo.

wewe tuandikie yalyozungumzwa.
 
ccm ndio inaelekea kuzimu hakuna jipya ndio maana nasema wanapoendelea kujibishana na M4C watakuwa wanajipaka matope na kusema wanajisafisha kumbe ndio wanaendelea kuwa wachafu zaidi. siko la kufa ccm
 
Katika mkutano wa jana wa ccm uliofanyika jangwani, ilijidhiilisha ccm kuwa hamnazo kabisa. Kwanza imedhihilika kuwa chama hicho kimeshajifia maana licha ya kutumia nguvu kubwa kuanda mkutano wa jangwani bado hakikupata umati kama waliopata wenzao wa CHADEMA.

Pili badala ya kuwaambia watz ni nini wamefanya, wao wakadhani wako kwenye kampeni wakazidi kutoa ahadi kama vile hawana akili nzuri. Na mwisho wakakusanya kadi za CHADEMA ambazo zilirushwa na wanachama wa chama hicho, cha kushangaza kadi zote zilikuwa mpya kabisa na wala hazikujaa mfuko wa kilo nne tu aliokuwa ameushika Magufuli na pili, eti kadi zilizorudishwa zote ni CHADEMA hakukuwa na kadi za NCCR wala CUF wala TLP hii inawezekana?

Nape akaahidi kadi zile watawarudishia wenyewe (jambo ambalo najua hawawezi) ,mara waziudishapo nawaomba CHADEMA wazihakiki kama ni za wanachama wake na ndipo uongo utakapo dhihirika kuwa ni za kuchonga au za kweli! Wasira ni kama mlevi vile akabaki kurusha mitusi kama hamnazo.

Kweli chama hiki hamnazo.
 
Ulikuwa mkutano wa kutoa ahadi,wakati walizotoa 2010 hata robo hawajatimiza wanaongeza nyingine!
 
Nakuunga mkono. Kwa jinsi chama hiki kikongwe kilivyohangaika kuwaita wananchi kwa kutangaza mkutano siku tatu kabala kwa kutumia magari ya matangazo kuzunguka jiji zima la DSM na kisha kuwakusanya watu kwa mabasi, malori na hata magari madogo na hata hivyo mabasi hayoa yaliweza kubeba watu wachache sana. Mathalani mimi ninapoishi Kata mojawapo katika barabara ya Morogoro basi la kukusanya watu lililondoka na akina mama sita ambao ni viongozi wa matawi ya CCm hapa katika kata/ Ni dhahiri watanzania wameshaamua kuwapuuza kwa nguvu zote.
 
Acha upotoshaji wakati mwingine si lazima sana kuchambua mambo ya CCM, ambayo ni dhahiri yapo nje ya uwezo wako, ukweli ni kwamba umeupindisha ukweli na umepotosha kwa kiasi kikubwa yale yaliyozungumza kwenye Mkutano wa leo.
Wapi kapotosha mbona hata mimi nilisikiliza mkutano mwanzo mwisho? Kuwa specific bw ngarenaro sio kukurupuka.. kwa watanzania hakuna cha maana ccm ilichokifanya jana zaidi ya mipasho..
 
Hivi majuzi ulifanyika mkutano wa chama cha mapincuzi (ccm) maeneo ya jangwani. Swali kubwa la kujiuliza ni nini kilipelekea mkutano huu?!

Jibu rahisi ni kwamba ccm ilitaka kujibu mapigo ya chadema ambayo ilikuwa imefanya mkutano wake eneo hilohilo majuma machache yaliyopita.

Kinachoshangaza na kusikitisha ni kuwa baada ya ccm kutafakari upepo wa kisiasa ulivyo na jinsi kilivyo poteza mvuto na ushawishi kisiasa mbele ya wananchi waliamua kufanya yafuatayo;

1. Walikodi pikipiki nyingi na magari kwa ajili ya kusomba watu kutoka seheme mbalimbali za jiji. Nakuambia magari kama coaster zilikuwa zinapita katika vitongoji kuomba watu waende mkutanoni. Hata maaeneo yetu ya mbezi niliziona zikiwa na bendera za chama!!!!

2. Pesa zilimwagwa

3. Walitumia mawaziri karibu wote kuhutubia

nimeamini kweli ccm wamepoteza mvuto

toa maoni yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom