Hivi majuzi ulifanyika mkutano wa chama cha mapincuzi (ccm) maeneo ya jangwani. Swali kubwa la kujiuliza ni nini kilipelekea mkutano huu?!
Jibu rahisi ni kwamba ccm ilitaka kujibu mapigo ya chadema ambayo ilikuwa imefanya mkutano wake eneo hilohilo majuma machache yaliyopita.
Kinachoshangaza na kusikitisha ni kuwa baada ya ccm kutafakari upepo wa kisiasa ulivyo na jinsi kilivyo poteza mvuto na ushawishi kisiasa mbele ya wananchi waliamua kufanya yafuatayo;
1. Walikodi pikipiki nyingi na magari kwa ajili ya kusomba watu kutoka seheme mbalimbali za jiji. Nakuambia magari kama coaster zilikuwa zinapita katika vitongoji kuomba watu waende mkutanoni. Hata maaeneo yetu ya mbezi niliziona zikiwa na bendera za chama!!!!
2. Pesa zilimwagwa
3. Walitumia mawaziri karibu wote kuhutubia
nimeamini kweli ccm wamepoteza mvuto
toa maoni yako