Watu wazima wakiongea uwe unanyamaza kimya!!ngarenaro na jangwani wapi na wapi? Au ni wivu wa kutosombwa na malori kwenda karatu kula ubwabwa kama ilivyokuwa kipindi cha kampeni, tatizo lenu warangi wengi wa ngarenaro ni uvivu, na ujinga!Acha upotoshaji wakati mwingine si lazima sana kuchambua mambo ya CCM, ambayo ni dhahiri yapo nje ya uwezo wako, ukweli ni kwamba umeupindisha ukweli na umepotosha kwa kiasi kikubwa yale yaliyozungumza kwenye Mkutano wa leo.
acha ushamba wewe siku hizi dunia ni kijiji kimoja kila mtu ameona na kusikia kwangu mimi mtoa mada hakuwa biased amesema kilichojiri wewe kwa ugonjwa wa kupenda hujaona hata pumba moja ya mkutano ule gamba mkubwa weweAcha upotoshaji wakati mwingine si lazima sana kuchambua mambo ya CCM, ambayo ni dhahiri yapo nje ya uwezo wako, ukweli ni kwamba umeupindisha ukweli na umepotosha kwa kiasi kikubwa yale yaliyozungumza kwenye Mkutano wa leo.
Tafadhali bana...kabla ya kila neno 'watanzania' anza na 'baadhi ya'...unakuwa unatutusi sana ukitujumuisha sote na takataka za CCM...!CCM imeishaujua ujinga wa watanzania na ndio maana inawatongoza na inapowapata inawatumia ipasavyo.
Inawahadaa watanzania mithili ya mvulana anayemtafuta msichana!!! Inawatongoza kwa vitisheti vya njano na vikofia vya kijani; Inawapa lifti; inawalisha wali kuku; inawatumbuiza kwa taarabu; inawaahidi maisha bora na kisha inawahonga elfu tano!! Kwa ulaini wananchi wanakubali kufanya mapenzi na CCM. Wanapewa mimba. Wanazaa ufukara na kisha CCM inawatelekeza kwa maisha duni!
Nionavyo mimi:
Watanzania wakiteseka na mazingaombwe ya ugumu wa maisha ni sawa tu!! Ni haki yao!! Waendelee tu kutaabika kwa kuwa dhiki, mahangaiko na ufukara wanavitaka wenyewe!!
Acha upotoshaji wakati mwingine si lazima sana kuchambua mambo ya CCM, ambayo ni dhahiri yapo nje ya uwezo wako, ukweli ni kwamba umeupindisha ukweli na umepotosha kwa kiasi kikubwa yale yaliyozungumza kwenye Mkutano wa leo.
Acha upotoshaji wakati mwingine si lazima sana kuchambua mambo ya CCM, ambayo ni dhahiri yapo nje ya uwezo wako, ukweli ni kwamba umeupindisha ukweli na umepotosha kwa kiasi kikubwa yale yaliyozungumza kwenye Mkutano wa leo.
CCM ilishakufa zamaniWasira hajui kama kuna viti vinaitwa index. Yeye alikuwa anasoma tarakimu tu. Nyingine zilionyesha kushuka kwa ratio kati yake na ongezeko la idadi ya watu. CCM inakufa.
- Kimsingi ni kama vile tulikuwa kwenye mkutano wa kampeni, kusikiliza ahadi za nini chama kitafanya na wala si nini kimefanywa