Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 955
- 1,314
Hili suala hili linaniumizaga sana kichwa yani mtu pesa yake unatakaje kumpangia matumiz? Hata watumie trilion 7 as long as ni pesa za chama chao haituhusu sanaa labda ungesema wanatumia pesa zetu. In fact kila chama kinatumia gharama kufanya mikutano yao.Tatizo liko wapi kama pesa wanatumia za chama??