Makonda kabanwa mpaka kenda kukanusha alichosema awali, na uhuru likuje na data sahihi zaidi ya hizi kama zipo.Hivi chukulia mfano Uhuru waandike hbr za chadema, wataandika uhalisia kweli?
Nimeuliza, kwa nini gazeti lutumie JPM badala ya Ccm? Mkutano ni wa ccm au wa magufuri? Huoni tu mpaka hapo kuna ukakasi?
Watabana kwengine lakini siyo lumumba....Wabanamatumizi wako wapi,?
hivi kwani mbowe ndo rais jaman?sisi tunachoshangaa ni matumizi hayabanwi na rais kwa swala hilo?kwani ulishasikia mtu akihoji fedha za huko ccm wanatumiaje?matumizi ya chama yawe ya chama na watafune wawezavyo lakini yasichanganywe na mambo ya nchi.so nakushangaa mtu mzima unahoji upupu.kama ni za chama let us know .Bora CCM huwa wanajaribu kuweka wazi matumizi yao hata kama ya uongo ama ya ufujaji, lakini Chadema tunasikia tu kuna kikao kanda ya ziwa, hatujawahi kuambiwa gharama wala anaegharamia wala anaelipa hizo gharama.
Mbowe ndio kila kitu.!
For posho my friendBillion 4 dah for what?
Yaani kwenda kukabidhiana tu ndio wahangaike na mabilion yote hayo,abane matumizi wapeane kimya kimya!
Wewe una akili za Mwendo kasi, hujui kama ni kodi zetu hizo.!hivi kwani mbowe ndo rais jaman?sisi tunachoshangaa ni matumizi hayabanwi na rais kwa swala hilo?kwani ulishasikia mtu akihoji fedha za huko ccm wanatumiaje?matumizi ya chama yawe ya chama na watafune wawezavyo lakini yasichanganywe na mambo ya nchi.so nakushangaa mtu mzima unahoji upupu.kama ni za chama let us know .
Ugonjwa gani huo?Hivi ule ugonjwa wa ajabu umepata kinga?
Nakubaliana na tafakari yako. Haijawahi hata siku moja TANZANIA DAIMA kuandika CCM na hata serikali kwa ujumla wake in positive way.Hivi chukulia mfano Uhuru waandike hbr za chadema, wataandika uhalisia kweli?
Nimeuliza, kwa nini gazeti lutumie JPM badala ya Ccm? Mkutano ni wa ccm au wa magufuri? Huoni tu mpaka hapo kuna ukakasi?
Fuata ya kwenuHalafu tunataka maendeleo haha Tanzania shamba la bibi
ruzuku ya ccm kutokana na wabunge ni sh ngapi kwa mwezi? viwanja vya mpira wanavyo vingapi inchini? acha unaa (in mrema's voice) ccm wana vyanzo vingi sio kuuza mashirt tu.Hela za walipa Kodi hizo we Unafikiri Kuuzaa Mashati ya CCM pale Lumumba kunatosha kupata 4 ;Billions
Ya kibavicha bavichaAcha kupaniki dogo! Yapi hayo