Mkutano wa CCM Dodoma kugharimu Bilioni 4/-

Mkutano wa CCM Dodoma kugharimu Bilioni 4/-

kwa vile ni kukabidhiana tu uenyekiti si JMK na JPM wangekutana tu pale lumumba halafu wakabidhiane kisha hizo njulugu zipelekwe kuchangia madawati?
ni mtazamo tu.
 
Helicopter kuanzia 300 Millions unapata so hashindwi kuwa nayo mafund wapo sana na pia helicopter mpya matengenezo sio saana
hiyo helicopter ya bei hiyo ya aina gani?usiongee vitu usivyovijua we ongelea siasa maana huki ndio angalau akili yako inafanya kazi
 
hiyo helicopter ya bei hiyo ya aina gani?usiongee vitu usivyovijua we ongelea siasa maana huki ndio angalau akili yako inafanya kazi
We ndo umeshindwa Kujiongeza we ulipo ambiwa kuanzia 300M hela za madafu means hapo nazungumzia Used nikasema Zikiwa mpya hazina service za ghalfa ghalfa Haya nawe Acha Kukurupuka Akili yako Finyu
04002deacf93cf113f93a01e43623b63.jpg
 
YENUUU INAYOGHARIMU BILION MBILI WAKATI MWENYEKTI MNAMJUA SIUHANITHI..SIBORA WAO WANABADILISHANA KILA.MIAKA KUMI NYIE MNAENDA MKOANI KABISA NA MASARE MKIJUA MWENYEKITI NIHUYU LOH HATA IWE BIL KUMI WAACHANENI
 
Kabla ya kuhoji hayo matumizi tungejiuliza wanapata wapi pesa je ruzuku yao ni sh ngapi wana majengo mangapi nchi nzima na yanawapatia kiasi gani viwanja vya mpira tusikimbilie kusema pesa ya serikali ikiwa hatuna ushahidi ova
 
Kwahiyo kugawa sambusa ilikuwa "Nitoke wasafi niende kwa kiba? Yooooo!!!
 
JPM kama kweli unasimamia Sera ya kubana matumizi, basi zuia kusanyiko la CCM Dodoma ambalo linakadiriwa kugharimu Tsh 4 bln. Kuna ulazima upi kutumia kiasi hicho cha fedha ili hali inafahamika wewe ndiye mrithi wa JK, kwa kivuli cha Uchaguzi wa Mwenyekiti?

Mpaka wimbo umetungwa kwa ajili yako. Hiyo ni dhahiri umeshapewa uenyekiti. Kwa nini usiitishe Press Conference pale Lumumba, kwa gharama kidogo, kisha ukathibitishwa?

Uko wapi ujasiri wa kuzuia zile 4 bilioni za Uhuru/Muungano?

Au ilikuwa nguvu ya Soda?

Kulikoni JPM?
 
Wana JF
Katika kubana matumizi kama tunavyoendelea kuelezwa raisi mkutano mkuu utaofanyika dodoma kuanzia kuanzia tarehe 23.07.2016 utagharimu bilioni 4/ .Ni gharama mkutano mkuu wa kukabathi mikoba yake Kikwete.
FB_IMG_1469077232554.jpg
 
Nani katoa hizo hela!? Ni hazina au wale Mtikila alikuwa anawaita magabacholi!? Magabacholi wajanja sana, naamini wamechomekea hapo na serikali itawekwa mfuko wa nyuma.
 
CCM ina vyanzo vyake vyela mapato,pesa za chama ni za shughuli za chama,wala hazipo kwenye budget ya serikali,hawezi okoa pesa za CCM Kwa ajili ya kujenga barabara,kuna watu wanajitoa ufahamu Kwa kulinganisha pesa za mikutano wa CCM na sherehe za Uhuru.Sherehe za Uhuru ni za serikali sio chama.
 
Back
Top Bottom