Mkutano wa CCM Dodoma kugharimu Bilioni 4/-

Yaani kwenda kukabidhiana tu ndio wahangaike na mabilion yote hayo,abane matumizi wapeane kimya kimya!
Kwa sababu hawajazitolea jasho kwa hiyo hilo haliwaumi, kodi za Watz
 
Kama ni zao na wamezitoa kwenye vyanzo vyao wacha watumie,ila tuletee ile gharama ya mwanza ilikuwa billion ngapi?,mtanzania daima linaongoza chama kuliko mwnykiti na katibu!
Hakuna kitu kinaitwa mtanzania daima
 
Sasa hivi hata jamii forum inashuka sana chati kwa sababu ya kua na habari nyingi sana zisizo na uhakika tofauti na zamani ndo maana unakuta post viewer 4,570 replies 7
Wewe ndiyo unaishusha chati maana umeposti malalamiko katika jukwaa lisilohusika
 
Gharama ni ndogo ukilinganisha kazi ambayo Magufuli anakwenda kuifanya, "KUSAFISHA"
 
Bora CCM huwa wanajaribu kuweka wazi matumizi yao hata kama ya uongo ama ya ufujaji, lakini Chadema tunasikia tu kuna kikao kanda ya ziwa, hatujawahi kuambiwa gharama wala anaegharamia wala anaelipa hizo gharama.

Mbowe ndio kila kitu.!
Umeshawahi kuomba upewe taarifa ukanyimwa?
 
IMG_20160718_045405.jpg
hivi hizi hekaheka zinatusaidiaje wananchi?ningefurahi sana kama mambo ya chama yangetenganishwa na mambo ya nchi regardless mtawala.haipendezi mambo ya chama kutumia fedha za wananchi.chama wawe na miradi yao ya kujiendesha kama chama na si kodi za wananchi hata kama watatumia sh 1000 achana na HIYO BIL 4
 
Ndugu zangu nyote wenyenye mapenzi mema na nchi yetu pasipo unafiki HAKI YA MUNGU SWISSWISM HAITUFAI ABADANI ASILANI HATA MALAIKA AKIINGIA NDANI YA SWISSWISM HUBADILIKA.
Ni hivi KATIBA MPYA YA WANANCHI tupambaneni ipatikana itakayo wanbana viongozi wote watakao kuja madarakani haitajalisha ni UKAWA wala SWISSWISM wembe uwe ni ule ule au msumeno.
 
Kwa kukokotoa zawenzenu hamjambo

Mtuambie na ninyi

Pesa za vibakuli mlizitumia vipi
Nazilikuwa sh. Ngapi?
1650cbab8552df37002fa873a84c62b6.jpg
3c2a093bd16c90f9ec50ad58218553ed.jpg

Hayo mabakuli michango inafika bilioni! Hata hivyo ni afadhali source inayojulikana kuliko isiyojulikana, mpaka tuje kujua zilikuwa zinatoka wapi tumeshaliwa mh.
 
Hayo mabakuli michango inafika bilioni! Hata hivyo ni afadhali source inayojulikana kuliko isiyojulikana, mpaka tuje kujua zilikuwa zinatoka wapi tumeshaliwa mh.
Source inajulikana ila matumizi hayajulikani HUU si NI WIZI KABSA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom