Na bajeti za kuwalipa wanasheria 17 kumtetea mwanasheria msomiUmesahau bado kuna bajeti ya BAVICHA ya matamko ,
Unapaniki nini sasa mkuu! unamtenganisha vipi JPM na Ccm
Lakini pia yeye anauwezo wa kuidhinisha pesa hizo zitumike au zipunguzweHivi chukulia mfano Uhuru waandike hbr za chadema, wataandika uhalisia kweli?
Nimeuliza, kwa nini gazeti lutumie JPM badala ya Ccm? Mkutano ni wa ccm au wa magufuri? Huoni tu mpaka hapo kuna ukakasi?
Wewe ndo unaukakasiHivi chukulia mfano Uhuru waandike hbr za chadema, wataandika uhalisia kweli?
Nimeuliza, kwa nini gazeti lutumie JPM badala ya Ccm? Mkutano ni wa ccm au wa magufuri? Huoni tu mpaka hapo kuna ukakasi?
Masikini Mtanzania, aliyekwambia govumenti ina pesa ni nani ...au husikii kila siku wanasema nchi yetu ni masikini!?billion 4 kwa gvt ni kama mia nne tu
Kumbe unafanya promoNUNUA TANZANIA DAIMA SOMA UK 3
.utapata mchanganuo unaoutaka
#B.4 ni tusi.
Ukakasi gani! hutaki kuelezwa ukweli???Hivi chukulia mfano Uhuru waandike hbr za chadema, wataandika uhalisia kweli?
Nimeuliza, kwa nini gazeti lutumie JPM badala ya Ccm? Mkutano ni wa ccm au wa magufuri? Huoni tu mpaka hapo kuna ukakasi?