Arushe picha ya jukwaa kuu kwanza
Crashwise alituambia kuwa wabunge wote wapo. Inakuwaje Lissu aingie sasa saa 11?lisu anaingia ukumbini sasa
Mbona wanaongea wajumbe wa UKAWA - CHADEMA pekee? Hawa wengine wa NCCR na CUF wapo wapi?
Hiyo ina uhusiano gani na mjadala huu?Halmashauri ya mwanza wametafuna bl 43 na sasa wanakomaa kukusanya zingine
Au hana kamera?Naona leo wamekutanguliza chambo....hii vita hamuiwezi
Crashwise alituambia kuwa wabunge wote wapo. Inakuwaje Lissu aingie sasa saa 11?
Asome ujumbe gani? Swali lililoulizwa ni la msingi sanaNivema ukasoma ujumbe
jibu wapo au hawapo? Nisome ujumbe gani?Nivema ukasoma ujumbe
Duh! Unajitahidi kujitetea. Alienda wapi sasa? Anaruhusiwa kutoka kiholela mbele ya viongozi wake?itakuwa aliondoka kwani mimi nilichelewa kufika.
Mkuu, hawa jamaa hawana jipyajibu wapo au hawapo? Nisome ujumbe gani?
Mkuu, hawa jamaa hawana jipya
Hahahahahaaaaaaa! Kwani kampeni za kuifuta ccm ndo za uchaguzi?Kuanzia sasa hadi Oktoba 31 mwaka kesho tumeshaanza uchaguzi. Asiwaambie mtu kuwa kampeni za 2015 hazijaanza. Zimeshaanza...
Mkutano unaanza saa nyapi?
Hahahahahaaaaaaa! Kwani kampeni za kuifuta ccm ndo za uchaguzi?