Lete picha bana,Vipi yale mashindano ya kukata gogo Kati yako na wakina MSALANI nani aliibuka kidedea?
Hii thread imekwishaingiliwa na virus.Mbona wasemaji wote ni kutoka chadema?
Kitu kizuri na muhimu ni kwamba tunaenda Kwenye mwaka huu wa uchaguzi tukiwa tumejiandaa vilivyo kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanzishwa Kwa vyama vya siasa nchini...tUtakwenda serikali za mitaa, kura za maoni, uchaguzi Mkuu tukiwa wamoja Kama UKAWA haijawahi kutokea
Rudi darasani ukajifunze kuandika kiswahili nyapi nini ndo tatizo la kukimbia shuleMkutano unaanza saa nyapi?
Chadema wanapora wanachama wa CUF kwa mgongo wa Ukawa. Sasa hivi Chadema wanajipenyeza Zanzibar kwa kutumia mgongo wa Cuf. Lipumba na usomi wake wote Chadema wamemuingiza choo cha kike.
Haya ni maneno ya kwenye khanga usituletee huku, kama huna hoja tulia msumari uwaingieChadema wanapora wanachama wa CUF kwa mgongo wa Ukawa. Sasa hivi Chadema wanajipenyeza Zanzibar kwa kutumia mgongo wa Cuf. Lipumba na usomi wake wote Chadema wamemuingiza choo cha kike.
Leo Dodoma na vitongoji vyake inaenda kusimama kwa muda kufuatia mkutano mkubwa wa UKAWA. Wasemaji wakuu wakiwa rais wa mioyo ya watu dr. slaa,Mnyika,Salumu Mwalimu na wabunge wote wa UKAWA.
Nitakuwa nikiwaletea kila kinachojiri.
===== Updates =====
Maandalizi bado yanaendelea na watu wanaendelea kuingia uwanjani.
salum mwl anahutubia sasa
Anahutubia nini,huo mkutano mnafanyia bonde la mpunga au UDOM?salum mwl anahutubia sasa
Ukawa walishazikwa tayari ambapo ndani yake kunachadema.chadema au ukawa?
Crashwise alituambia kuwa wabunge wote wapo. Inakuwaje Lissu aingie sasa saa 11?
salum mwl anahutubia sasa
Mbona wasemaji wote ni kutoka chadema?