wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
aahaa wapiga dili wapo dodoma na hizo kodi na wao si wanalipwa kutokana na hiyo kodi
moods nimezituma picha ziwekeni hewani
Adui yetu lazima tumtangaze mpaka atakapoondoka au kuondolewa, nhi hii haisongi mbele kwa sababu ya ufisadi...upo hapo, CCM wanauza hii nchi kwa wawekezaji kwa bei poa....., kunapotokea tatizo lolote watu ulitangaza kama tatizo kwa jamii husika. mfano Ebola ni tatizo dunia nzima ikiwemo tanzania wanatangaza kuwa ni tatizo. Sasa tatizo linalotangazwa duniani ni ufisadi na rushwa kwenye nchi hii..(refer Aljazeera TV), Wameeleza kinagaubaga jinsi nchi hii ilivyogubikwa na rushwa mpaka rais wa china anakuja kuchukua meno ya tembo nk. Sasa kama unataka mataifa ya nje yatusemehe ufisadi uliopo hapa na sisi tunyamaze kimya nadhani ni upeo tu wa akili yako. Kwa hiyo kama tatizo kubwa ni ufisadi na wanamagezi wetu wanasema wakiin gia madarakani watasafisha huo uozo wa ufisadi..wewe unasema hawana jipya..pia hapo wewe ni upeo wako. Unahitaji kukombolewa kifkra kwanza then uje hapa JF tujadili mambo ya msingi.Inashangaza na kutia aibu, hadi leo watu wanaongelea EPA....
Tell us the future, mna nn..!? UKAWA wote hamna hata mmoja nimesikia AKISISITIZA TUKIPATA NCHI TUMEPANGA KUWAFANYIA 1, 2, 3, .......etc
Ila UKAWA wakifungua mdogo, neno la kwanza CCM, la pili CCM, la tatu CCM...ebo, manyoko zenu, hamna kitu mtatupeleka shimoni...!!!
Hv mtu kama huyo Salum Mwalimu, mtu anayemwelewa na kujielewa, huwezi msikiliza, upuuzi tu...!!!
Chadema wanapora wanachama wa CUF kwa mgongo wa Ukawa. Sasa hivi Chadema wanajipenyeza Zanzibar kwa kutumia mgongo wa Cuf. Lipumba na usomi wake wote Chadema wamemuingiza choo cha kike.
Mods siku hizi kama wanapendelea habari fulani hivi...nimeanzisha uzi wa majibizano Kati ya mdee na Prof Tibaijuka wameufuta.....hizo picha wanaeza kuzipotezea pia
Eti na wewe ni........."JF Senior Expert Member" pamoja na kuandika ujinga kama huu!!!
Inashangaza na kutia aibu, hadi leo watu wanaongelea EPA....
Tell us the future, mna nn..!? UKAWA wote hamna hata mmoja nimesikia AKISISITIZA TUKIPATA NCHI TUMEPANGA KUWAFANYIA 1, 2, 3, .......etc
Ila UKAWA wakifungua mdogo, neno la kwanza CCM, la pili CCM, la tatu CCM...ebo, manyoko zenu, hamna kitu mtatupeleka shimoni...!!!
Hv mtu kama huyo Salum Mwalimu, mtu anayemwelewa na kujielewa, huwezi msikiliza, upuuzi tu...!!!
Mamod wamefika bei kwa CCM siku hizi.Makada wa CCM wanatukana kila lakini wanadunda tu, ila wakiona wewe ni mwiba kwa CCM kwa kuweka hoja za nguvu utapigwa ban haraka halafu utaambiwa ni name calling.Jamani hawa mods wana nini? Au wanataka wazichakachue picha ndio waziweke?
UKAWA you are riding a dead horse.
Pole mkuu hii dawa ndivyo ilivyo, tulia dawa ikuingie vilivyoEti na wewe ni........."JF Senior Expert Member" pamoja na kuandika ujinga kama huu!!!
moods nimezituma picha ziwekeni hewani
jamani kwa kile nilichokiona leo kwenye mkutano wa ukawa dodoma ccm ikishinda mwakani nitatembea uchi cku tatu