Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Asante sana kwa Tarifa Kamanda
Amewaambia watu wa Dodoma wakiendelea kuichagua CCM kodi zao zitaendele kuliwa huku wananchi wa maeneo mengine Kama jimboni kwake wakiendelea kunufaika Kwa uwakikishi mzuri
Asante Mkuu Crash ila Mapicha ni Muhimu sana
nitaweka mkuu...
Hapa sasa hivi atafika Lizaboni, simiyu yetu, laki si pesa, Faizal fox, sasa hivi...
Arushe picha ya jukwaa kuu kwanzaAsante Mkuu Crash ila Mapicha ni Muhimu sana