Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia tarehe 03 Januari 3, 2024 (kipindi cha pili)

Kesho tunanafasi kubwa zaidi maana hakuna ufunguzi. Kwa yale ambayo hatujayaongea tuyaongee
 
Wachangiaji kutoa mrejesho.
Dr Ajari
Kwa kifupi mjadala umeibua hoja nzuri. Lengo ni kuboresha demokrasia Tanzania. Tunazungumzia ubora wa sheria. Ubora wa sheria unaweza kuleta ubora wa wanasiasa na demokrasia.

Mwisho nimalize kwa kusema. Sauti zimepazwa mapendekezo yametolewa.
 
Musa Kombo:
Wengi wamechangia sitajielekeza katika kujibu. Niseme moja.
Tukiondoka hapa isionekane kuwa baadhi ya mawazo yamedharauliwa. Sheria zetu tunazozirekebisha lazima yaendane na katiba. Wenzetu wangekuwa na subira kidogo. Wasubiri maana yanagusa katiba. Wananchi walioona kuwa maoni yakitolewa wasione kuwa srikali kuwa imekaidi. Nishukuru Mzee Kificho kwa kuongelea kifungu cha 132. Baraza la wawakilishi halina mamlaka ya kujadili sheria iliyopitishwa na bunge la jamhuri.

Amependekeza kuwa mswada unajadiliwa na baraza la wakilishi pia.
 
Avemaria:
Anawashukuru wale waliotoa mawazo.
Hii ni minimum reform. Hii miswada inakuja kuje na mabadiliko ya katiba.
Haya yote yanahitaji kuwa na mabadiliko ya sheria. Haya mapendekezo haya yote yapo kwenye katiba. Kutakuwa na Minimum Reforms.

Demokrasia hii tunayoenda nao inaendekeza ubaguzi. Kwahiyo ubaguzi (Unyanyasaji) Unamtazama mbunge wa viti maalum. Akitaka kufanya siasa anaambiwa anamwingilia mwingine.

Kama mfumo wa kutuingiza kwenye vyombo vya kutunga katiba una uwalakini lazima urekebiswhe.

Lazima tusomane. Katiba inayopendekezwa ilishatatua mambo hayo. Haya mchakato huo haukukamilika. Kikosi kazi kimeundwa na kimetoa mapendekezo. Rais kasema yafanyiwe kazi. Ni lazima tusomane.

Tutaomba tuyatoe, Haya siyo ambo mapya. Vilivilivyoridhiwa vifanyiwe utekelezaji. Sasa huyu anateuliwa na nani. Hatutaki kutukanwa.
Uringo tulifanya utafiti. Maneno ambayo yanatoka yanadharirisha. Tunapendekeza utaratibu utakaopunguza kashfa. Hata jina libadilishwe. Mwanaume hakimbii vita lakini mwanamke hakimbii vita akasahau mtoto.

Vyama ambavyo havinaruzuku ndio maana wanawake hawaendi. Kutokana na rushwa ya ngono.
Haya mambo tayari yalishapitishwa. Kwa yale yanayofaa kwa utekelezaji yafanyike.

Naommba tupendekeze Intra part Democracy.
 
Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya Siasa anaongea sasa....
 
Kesho tunaanza mapema. Wenye hamu ya kuchangia wafike mapema. Tunaanza saa tatu. Tufike mapema saa mbii kwaajili ya kazi. Na usisahau kitambulisho.

Mambo ya nauli yatafanyika kesho.
 

Sijaona la maana walichochangia. Kila mtu 4R na wanawake basi. Wajinga kweli.
 
Kesho tunaanza mapema. Wenye hamu ya kuchangia wafike mapema. Tunaanza saa tatu. Tufike mapema saa mbii kwaajili ya kazi. Na usisahau kitambulisho.

Mambo ya nauli yatafanyika kesho.

Ndipo maana wamejazana kumbebkuna nauli
 
Kwa kweli kama watu wanapoteza siku nzima kuongea mambo ya kumfurahisha Rais basi Kuna shida.
Watu wa fursa hao wengine wamo humu wamealikwa na kupewa bahasha zenye kitita ndio wamekuja kupiga PR humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…