Mkutano CDM Usa-River 15.09.2012

Mkutano CDM Usa-River 15.09.2012

Hatimaye siku ya mkutano imefika. Leo saa 7 mchana hadi saa 12 jioni Makamanda Mh.Joshua Nassari na wengine wengi watakuwepo Kiwanja cha sokoni eneo la kwa Jiranii Mji Mwema katika vugu vugu la Mabadiliko.
Kwa hiyo tunasema hivi:-
View attachment 65014
 
Emashilia kamanda angu amsha amsha inaanzia kwa wapi? Kuna dogo atakuja hapo kwa picha za live updates una PC?
 
Ni vikao vya kujifariji. Baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge shuka kwenye majukwaa leta maendeleo siyo kupeleka mikutano. Zaidi ya asilimia 80 ya wahudhuriaji wanatoka moshi rombo na hai. Kama unabisha angalia lema alivyoumbuka dar-es-salaam alipoita mkutano wa haraka bila helkopta kule tabata. Type from hero to zero lema kwenye mtandao utazikuta hizo picha


 
Mwelekeo wa siasa ya ndani, unaenda vizuri sana kuelekea 2015. Lakini tusiishie hapo
tuongeze presha zaidi kwa Ccm mpaka wasijitambue, na cha muhimu zaidi katika miaka
miwili iliyobakia, ni kufuatilia na kuangalia kwa umakini sana siasa za mambo ya nje.
Idara ya mambo ya nje ya CDM. Iwe na wakati mgumu wa kuhakikisha inakamilisha
ushindi wa CDM. Kuhakikisha kama inafika na kuzungumza katika nchi zote ambazo
Serikali ya Ccm, imeegemea kimaslahi binafsi na kubadilisha msimamo, kwa kutumia
Diplomasia ya hali ya juu. Kueleza msimsmo wako wakati utakapokalia kiti na ushirikiano
wa aina gani utakaohitajika. na kuna muhimu mkubwa kupiga macho makali, kwa
serikali ya Amerika, China, Brazil, Australia, singapore na nchi zote zinazohusu.
 
Back
Top Bottom