Mkurugenzi wa INEC, Ramadhani Kailima aongoza kikao cha kupanga ratiba za kampeni za vyama

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
WhatsApp Image 2025-08-25 at 21.23.09_bedf7a40.jpg

Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.

Kikao hicho kimefanyika leo, tarehe 25 Agosti 2025, katika Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, jijini Dodoma.
WhatsApp Image 2025-08-25 at 21.23.09_c6e6ea82.jpg

WhatsApp Image 2025-08-25 at 21.36.18_1354a0ea.jpg
 
View attachment 3453112
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndugu Ramadhani Kailima, akizungumza na Viongozi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.

Kikao hicho kimefanyika leo, tarehe 25 Agosti 2025, katika Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, jijini Dodoma.
Wahuni
 
Waache washupaze shingo ,siyo muda tutasikia mlio wakupoteana (mark my words)

Tanganyika haijawahi kuwa dhaifu kwa kiwango wanachokifikiria .
 
View attachment 3453112
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.

Kikao hicho kimefanyika leo, tarehe 25 Agosti 2025, katika Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, jijini Dodoma.
Watu na vikofia vyao wanawaza masurufu tu
 
Back
Top Bottom