Mkurugenzi IMF atiwa mbaroni tuhuma za jaribio la Kubaka...

Si~hasa kweli MCHEZO MCHAFU!!! MATUKIO KAMA HAYA YATAANZA KUONEKANA HAPA TANZANIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015... Hasa katika chama cha Magamba!!!
 
IMF chief Dominique Strauss-Kahn submits his resignation

WASHINGTON -- The International Monetary Fund says its embattled managing director, Dominique Strauss-Kahn, intends to resign, effective immediately, as he faces sexual assault charges in New York.

The IMF's executive board released a letter from the French executive late Wednesday in which he denied the allegations lodged against him but said that with "great sadness" he felt compelled to resign. He said he was thinking of his family and that he wanted to protect the IMF.

nafissatou-diallo-is-het-kamermeisje-van-strauss-kahn_5_460x0.jpg




thumbnail.php


Nafissatou Diallo, maid assaulted by IMF Chief Dominique Strauss-Kahn








HII ILIKUA PLOTTED KUHUSU JAMAA COZ INTENTION YAKE ILIKUA NI KUMALIZA WORLD ECONOMIC CRISIS SASA WA MAREKAN KAMA TUNAVOWAJUA WALI PLAN KUTIKISA UCHUMI WA DUNIA ILI MATAIFA YALIOKUA MAREKAN IKIYA HOFIA KUKUA KWA UCHUMI YATETEREKE HALAF WAO WAZID KUSHINE JAMAA AKAWASTUKIA MAREKAN IKAPANGA NJAMA.. NILISOMA JUUU KWA JUU KWA american post SINA DATA ZA KUTOSHA
 
Hivi huyu bint anajisikiaje kumsingizia huyu Babu tuhuma nzito kama hizi? sasa huyu mzee akijiua lawama apewe nani?

Bado haingii akilini kuwa huyu Babu alijaribu kubaka huyu Bint, kweli nimeamini siasa ni mchezo mchafu sana usipokuwa makini,

Who is next? Mwakyembe au Lowassa?
 
Si~hasa kweli MCHEZO MCHAFU!!! MATUKIO KAMA HAYA YATAANZA KUONEKANA HAPA TANZANIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015... Hasa katika chama cha Magamba!!!

hapa kwetu Tanzania kashfa kama hii ni sifa wala hawajiuzulu. Kama mtu hajiuzulu kwa tukio la gongo la mboto ije kuwa kufumaniwa? madai yao private affair haina mahusiano na kazi......:biggrin1::biggrin1:
 
Du,
BINTI mwenyewe huyu?
Hii ndio ile inaimbwa na watoto.."Sungura kamkaba Tembo":typing:

Jamaa anaanza kuikumbuka familia yake sasa...Akili imerudi!
PHP:
He said he was thinking of his family and that he wanted to protect the IMF.




thumbnail.php
 
Hivi huyu bint anajisikiaje kumsingizia huyu Babu tuhuma nzito kama hizi? sasa huyu mzee akijiua lawama apewe nani?

Bado haingii akilini kuwa huyu Babu alijaribu kubaka huyu Bint, kweli nimeamini siasa ni mchezo mchafu sana usipokuwa makini,

Who is next? Mwakyembe au Lowassa?

Inaingia akilini maana huyu babu hii sio mara yake ya kwanza kufanya hivi. 2003 kama sikosei alituhumiwa tena kwa kitendo kama hicho ila nadhani wakati huo bado hakuwa CEO wa IMF. These people are psychos.
 
finaly,marekani wameshinda walichotaka

Walikuwa wanalalamika sana juu ya huyu jamaa,hasa kwa kitendo cha nchi za EU kukopa sana kwenye IMF,na hili niliona nia ni kuhakikisha nchi za EU hazitoi kiongozi wa juu,sasa sijui atatoka wapi maana na hawa jamaa EU wakiona USA inawaletea za kuleta wataunganisha nguvu na kuweka mtu wao wa kutoka EU.Masikitiko makubwa jamaa alikuwa amepanga kugombea uraisi France uchaguzi ujao.
 
Inaingia akilini maana huyu babu hii sio mara yake ya kwanza kufanya hivi. 2003 kama sikosei alituhumiwa tena kwa kitendo kama hicho ila nadhani wakati huo bado hakuwa CEO wa IMF. These people are psychos.

Dah, miaka 62 anawaza kubaka? alikuwa wapi enzi zake? kweli he might be psycho. Atanyea debe.
 
There is a hidden agenda. I am forced to believe so. To refuse him bail shows that there is something fishy!
 
muda c mrefu ukweli utajulikana tu. kama ni njama za marekani au za sakhozy au ni udhaifu wa njemba yenyewe yote yatakuwa wazi ndani ya wiki 2 zijazo. mwisho wa siku watu hutumia udhaifu wako kukuchomokea mambo yao. so ikibidi na ukiwa na nyadhifa kubwa kama hizi, inabidi kuwa in control ya weaknesses zako. vinginevyo, u wont last, kama mdau alivyotukiwa
 
Jamaa Strauss Kahn ni mchanganyiko wa muhindi na mfaransa, si ajabu wametoa mzinzi.
 
Kwa maelezo ya Dominique Strauss-Kahn anasema walikubaliana,sasa mimi najiuliza huyu binti alikwendaje kwenye chumba cha Dominique saa saba mchana kufanya usafi??,alafu aliweza je kuingia kwenye hicho chumba??au kilikuwa wazi ???atakama alikuwa na master key kwanini akafanye usafi wakati mteja bado yupo ndani???mimi nahisi kuna harufu ya mchongo hapa.......!
 
Ila mzee huyu huwezi kujua MKEWE ana fananaje na anampenda kiasi gani (aliyenaye ni mke wa 3 kwa sasa)...Umeona binti yenyewe iliyoponea chupuchupu KUBAKWA??? Mzee ana taste pamaoja na kwamba kazi express vibaya!! Si angelia tuu machozi hadi aonewe huruma jamani?? Sasa kakosa MWANA NA MAJI YA MOTO!!!!
 
simtetei mzee lakini sielewi vipi mfagiaji aweze kuwa na huyu mzee ambaye ulinzi wake unashinda ulinzi wa kikwete hapa lazima tujiulize
 
Gavana...habari zina sema kuwa mzee alikuwa New York sio kikazi,ila kwa private issue kwahiyo hakuwa na ulinzi kabisa,alitegemea kuja kuungana na walinzi wake German kwenye mkutano..
 
Hizo ni njama za Sarkozy baada ya Kan kutaka kutngaza nia ya kugombea urais,hiyo ipo wapo wazi kwani kan ndiye aliyeonekana kuwa na mvuto zaidi kuliko mgombea yeyote yule.
Na inasemekana USA imebariki hilo baada ya jamaa kuonekana kuwa alikuwa kikwazo pale wamerikani walipo amuwa kutaka kutetelesha uchumi ili nchi zinazokuwa kiuchumi ziteteleke


tutambue kuwa mla kuku wa mwenzie miguu humgeukia
 
Back
Top Bottom