Mkunaji na mkunwaji

Code:
Mkunaji ni yule anae husika na kukuna nazi..
Mkunwaji utakua umekosea kusikia ni mkuniwaji... 
yaani mwenye hio nazi....lol

Hebu jibu swali la msingi ni nani anafaidi?

hahahaha... So typical with your quesions...
naona hua nakukwepa saana kujibu BUT

Raha ya mkuna apate mkunwa na raha
ya mkunwa apate mkunaji... kwanini swali nani anafaidi
hali woote wanahitajiana.. hapa zaidi inategemea na ujuzi wa both!
 
umeufunga mjadala.....thank you for that..............it is mutual enjoyment................symbiotic association kind of................
 
Ndugu wapenzi wa JF, mimi siwezi kujiita mpenzi wa taarabu. Lakini mara moja moja huwa nikikaa nikasikiliza maneno matamu yaliyo katika muziki huu. Jana wakati nasikiliza miziki ya taarabu toka kwetu bongo, niliusikia wimbo wa mwanamama mmoja akitaka asaidiwe fumbo lifuatalo:- MKUNAJI NA MKUNWAJI NI NANI ANAYEPATA RAHA? Nawasilisha hapa wapenzi wa JF tumsaidie huyu mwanamama tafadhali
Inategemeana na utayari wa kila mmoja katika zoezi la ukunaji...! Hahahaha...
 
Mkunaji anapaswa awe na subira aache makeke ya kukimbilia kileleni akumbuke ya kuwa mvumilivu hula mbivu na ya kuwa...........it is not about him but about the other one................kwa hiyo ampelekeshe mwezie polepole hadi wafike KIBO na MAWENZI...................
 
Maneno kuntu haya...lol..
 
Baada ya muda mkunaji awe
mkunwaji ..yaani wanabadilishana
kila baada ya muda...eeeeehhhhh
hapo ndo asali na sukari changanya
mmmmmmmhhhh

mhh...hii hapana thubutu! yani wageuzane maumbile? mambo ya strap-on au nini?
 
To be Honest Hakuna raha yoyote sema akili na ubongo wetu wote tumeuelekeza Huko ...hata maneno yenyewe hayana maana.

MIMI SI ENJOY SANAAAA WAKATI WA KUKUNANA ILA NAENJOY SANAAA WAKATI NIMEKAA NA KUTULIA TUKI DO ROMANCE NA KUCHEZA CHEZA TU KUKUNANA SIO SANAAA AHAA YAANI NAENJOY KUWA KARIBU NAYE loh I love my wife!!

YEAH!!

wewe utakuwa na matatizo kama ya matajiri wanaoishi kimasikini
 
Code:
Hujambo mpendwa
hahahahahahah hiyo
smile face uliyonipa imeniongezea
lisaa la kuishi mmmhhh santee BW
ntakutafuta asubuhi ni ku toe out 
kwa breakfast uji wa ulezi na 
mafuta ya samli hahhhah lol
nami mimi je? msile pekee yenu mkaninyima vinono na mimi nina njaa.................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom