Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,509
- 1,343
Vogue mbili?na VX 2 si ulafi tuu huo!
Mimi nkiwaona hao jela ndo ntakuwa na imani
You will never see them there, labda Takukuru iwe inaongozwa na wewe ndio utawaona wapo huko
Vogue mbili?na VX 2 si ulafi tuu huo!
Mimi nkiwaona hao jela ndo ntakuwa na imani
Eti, haiwezekani wakatolewa hadharani kwa wananchi wenye hasira kali wakamaliza game? mbona vibaka wa simu na kuku huwa wanakutana na wananchi wenye hasira kali? hawa vipi hawaingii kwene category hii? laiti wezi wa kuku nao na wale wa simu wangekuwa wanachunguzwa na Takokuru haki ingepatikana bila ya ncha ya upanga
na huyu Maige alivyokuwa analalamika kwa Michuzi na hadi kuweka mistari ya biblia kumbe hana lolote anatafuta fadhila
Kuwa kiongozi wa watu inabidi uwe muadilifu sana... Wanatumia kodi zenu na rasilimali za watanzania kujinuisha wao na familia zao huku wengine tukifa kwa matatizo chungu nzima...
MUNGU hakumpa uwaziri Mkulo, Megawatt eta'l na akamfanya baba yangu kuwa mkulima kule kijijini kwetu halafu maisha yaishie hapo...lazima na ipo siku Mungu ataweka usawa miongoni mwetu...na siku hiyo yaja....
hii ni muvi nyingine ambapo sasa kesi ya nyani inapelekwa kwa ngedere
Hawa jamaa wanaotuibia, kwa kuwa hatimaye itaishia kuwa hakuna ushahidi, hawana kesi ya kujibu; katika pita zao zao mitaani wajihadhari na wananchi wenye hasira kama mbogo.Eti, haiwezekani wakatolewa hadharani kwa wananchi wenye hasira kali wakamaliza game? mbona vibaka wa simu na kuku huwa wanakutana na wananchi wenye hasira kali? hawa vipi hawaingii kwene category hii? laiti wezi wa kuku nao na wale wa simu wangekuwa wanachunguzwa na Takokuru haki ingepatikana bila ya ncha ya upanga