Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, May 18, 2012.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Taarifa zilizopenya kwenye viunga hivi zinadai kuwa mawaziri walioachishwa kazi [Mkulo, Maige na Mzee wa Megawatts (Ngeleja)] wako kikaongoni Takukuru na kwamba kila siku lazima waripoti saa tatu asubuhi.

  Inadaiwa Mkulo kakutwa na Vogue 2 na Land Cruiser 2 zote mpya hata nylon hazijatolewa kwenye magari yenyewe nyumbani kwake Mikocheni.

  Mzee wa Megawatts (Ngeleja) kashfa yake ni ya zile Benz zake alizoleta na Air Cargo na madudu mengine wizarani.

  Maige kauza Vitalu vya walafi serikalini kawazidi akili wenzake (isichukuliwe kama namtetea)

  Habari zaidi zitafuatia...
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Eti, haiwezekani wakatolewa hadharani kwa wananchi wenye hasira kali wakamaliza game? mbona vibaka wa simu na kuku huwa wanakutana na wananchi wenye hasira kali? hawa vipi hawaingii kwene category hii? laiti wezi wa kuku nao na wale wa simu wangekuwa wanachunguzwa na Takokuru haki ingepatikana bila ya ncha ya upanga
   
 3. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu Invisible siwaamini sawa hawa TAKUKURU CCM! acha tusubiri!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nasubiri kwa hamu kuona mwisho wa hiyo sinema mpya in town kwa hisani ya CCM. Uliwahi kuona wapi mtuhumiwa wa wizi kwa mali za umma akiandikiwa tena hundi eti kwa kimombo cha GRATUITY?
   
 5. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu Invisible siwaamini sana hawa TAKUKURU CCM! acha tusubiri!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Thanks Invisible, hower i dont have confidence on TAKUKURU.

  Well may be this time TAKUKURU will not disappoint.

  Let me keep my fingers crossed.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  na huyu Maige alivyokuwa analalamika kwa Michuzi na hadi kuweka mistari ya biblia kumbe hana lolote anatafuta fadhila
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,300
  Likes Received: 3,043
  Trophy Points: 280
  Kuwa kiongozi wa watu inabidi uwe muadilifu sana... Wanatumia kodi zenu na rasilimali za watanzania kujinuisha wao na familia zao huku wengine tukifa kwa matatizo chungu nzima...

  MUNGU hakumpa uwaziri Mkulo, Megawatt eta'l na akamfanya baba yangu kuwa mkulima kule kijijini kwetu halafu maisha yaishie hapo...lazima na ipo siku Mungu ataweka usawa miongoni mwetu...na siku hiyo yaja....
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  aaaa, hawawezi kitu, mbona wataondoka na mtu?
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  hii ni muvi nyingine ambapo sasa kesi ya nyani inapelekwa kwa ngedere
   
 11. Imany John

  Imany John Verified User

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,780
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  where we dare to talk openly!
   
 12. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade umesahau kama TAKUKURU ni vibogoyo? rejea mahojiano ya Hosea na Weakliks
   
 13. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hii ilipokuwa inaitwa takuru tulisema haina meno tukaiongeza ku nyingine ili iwe na meno,sasa ili iweze kuwapata na hatia hawa jamaa nashauri iongezewe meno iwe kama simba, iitwe takukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukukuru.

  Nimeweka ku 32 ambayo ni meno ya mtu mzima kwa sababu hayo mawili yalishashindwa.
   
 14. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,300
  Likes Received: 3,043
  Trophy Points: 280
  Hosea aliwahi kuuliza UDSM kuhusu kesi za ufisadi akajibu " a dog can not bite his boss but atleast can bark at him"
  Tumeshazoea ngonjera zao na hakuna jipya..
   
 15. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Takukuru is Toothless hata miba ya Samaki hawawezi kuivunja wataweza hiyo Mifupa ya Ng'ombe.

  Takukuru wenyewe wala Rushwa hawana lolote hapo ni Changa la macho wa Watanzania
   
 16. L

  Luiz JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nadhani kwa hawa watu tutumie hukumu ya sharia kuwahadhibu hawa mafisadi.
   
 17. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  usiingie wala kuitoa hii thread. tutakua tunaweka updates hapa. nasikia charles ikerege naye kasimamishwa kazi na bodi ya tbs.
   
 18. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkulo, Ngeleja, Maige ni kivuli cha CCM. Takukuru ni tawi la CCM. Hosea ni mwanachama hai wa CCM. Toka lini mtu akakimbia kivuli chake?. Takukuru haina ubavu wa kuwachukulia hatua akina Mkulo. Akina mkulo na Lowasa nani kafanya madudu ya kutisha ndani ya Tanzania?. Je Lowasa amefanywa nini na Takukuru?.

  Umefika wakati wa kutumia risasi kukomesha na kufagia uchafu ndani ya Tanzania. Tungewapiga risasi wezi wetu wa EPA, Richmond, Deep Green, Meremeta, Rada na Kiwira akina Mkulo wasingefanya madudu.
   
 19. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Uzoefu wangu na nchi hii unanikataza kuamini kuwa kuna lolote litaenda kutokea hapo......

  Ahsante kwa taarifa Robot langu
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Vogue mbili?na VX 2 si ulafi tuu huo!
  Mimi nkiwaona hao jela ndo ntakuwa na imani
   
Loading...