Mustapha Mkulo atajwa sakata ya rushwa ya bilioni 13. Je, mnakumbuka hili?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,377
2,000
Nimeamini watu wanapiga pesa kimya kimya bila kujulikana, Mwaka 2012 Aliyekuwa waziri wa Fedha ndugu Mkulo wakati wa upekuzi nyumbani kwake '' Alikutwa na Vogue 2 na Land Cruiser 2 zote mpya hata nylon hazijatolewa kwenye magari yenyewe nyumbani kwake Mikocheni.

Jeuri yote ya pesa kumbe kaiba pesa za umma, nina imani na Rais Magufuli mafisadi wote walioiingizia serikali hasara watafirisiwa.

Soma zaidi: Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom