Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,436
- 4,647
Mpaka hapo ,mh rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Mama Samia Suluh Hassan anachanga karata zake vizuri sana.
Hakuna waziri aliyemvua uwaziri zaidi ya kumwamisha wizara lakini amewaachia rai ya kuweza kuendana na kasi yake.
Wengi tulitarajia hivyo na ndivyo alivyofanya. Kwa hilo nampa hongera na namshauri asitishike na wachumia matumbo yao bali atende haki kwa wote.
Hongera sana mh Mama Samia Suluhu Hassan.
Sasa mama tuutafute uhuru wetu, kukosoana bila kuogopa kuswekwa ndani au vinginevyo. Naamini una uvumilivu wa kusikia hoja mbadala ambazo huzipendi- huo ndio utu.
Nakuombea sana.