Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

Mpaka hapo ,mh rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Mama Samia Suluh Hassan anachanga karata zake vizuri sana.
Hakuna waziri aliyemvua uwaziri zaidi ya kumwamisha wizara lakini amewaachia rai ya kuweza kuendana na kasi yake.
Wengi tulitarajia hivyo na ndivyo alivyofanya. Kwa hilo nampa hongera na namshauri asitishike na wachumia matumbo yao bali atende haki kwa wote.
Hongera sana mh Mama Samia Suluhu Hassan.


Sasa mama tuutafute uhuru wetu, kukosoana bila kuogopa kuswekwa ndani au vinginevyo. Naamini una uvumilivu wa kusikia hoja mbadala ambazo huzipendi- huo ndio utu.
Nakuombea sana.
 
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Hata wakati wakikwete ishawai kuwepo a minister without potfolio" alishahudumu prof mark mwandosya
 
Alirudi na alikuwa dodoma hospital mpaka siku anaagwa jiwe, huyu mzee wa newala alikuwa mahututi kitandani,. Ngoja nipeleleze tena hali yake ikoje
Wapenda umbeya watakufata hapo hapo Dodoma Hospitali wakubebe ukawahadithie vizuri
 
Nina mashaka kama ataweza kushika wadhifa huu japo hata kwa mwezi mmoja
Kuna uchawi Fulani ambao wachawi wanajikinga na kifo. Huwa wanaoza lakini roho inadunda mpaka mwenzake anayejua kilinge chake kilipowekwa ndio anawaambia wazee, kinatafutwa na lile agano linafutwa halafu mchawi anakufa na kwenda kuungana na wenzie motoni.
Vile vile unaweza kuweka agano Kama Hilo na ofisi Fulani au mpenzi fulani, kwamba inyeshe au liwake Mimi na Hii ofisi au huyu mpenzi mpaka nitakapoingia kaburini halafu kile kilinge Cha Hilo agano kinakwenda kufichwa sehemu salama.
Uchawi huu uko Njombe, TANGA, Umakondeni mpaka msumbiji. Kwa hili wasukuma na wazee wa Katavi , Sumbawanga wanakuwaga wapole.
 
Back
Top Bottom