Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Asiye na wizara maalumu ndio kazi maalumu?
 
Hizi online trolling na abuse hupelekea suicide.

Tujitahidi kupunguza.

Anayejiua kwa kuwa trolled online ni boya. s/he can simply choose to stay offline hajalazimishwa.
 
Gang lenu limepigwa karamu sasa hamna pa kula wala pa kulala.
Bashiru mliye mtegemea abakie ikulu sasa naye wansese oluwaaaaaa
Mbona hata nyinyi vigogo mmepigwa chini?

Unafurahia huku njaa inakunyoosha?
 
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Mzee wetu Mkuchika sasa Pumzika kwa heshima,
hongera kwa kuitumikia nchi yako kuanzia kipindi Cha Mwl. Nyerere mpaka awamu ya 6.
 
Mzee huyu ni kama chumvi popote naona inafaa,ukiweka hadi kwenye pombe ina fiti tu kudadeki ni kama kante tu...
 
Wizara hui itakuwa dar au Dom..... Au atakuwa anashinda nyumbani au ofs gn
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Salute kwa Madam President Samia SH.
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!

Naskia iliundwa kwa matakwa ya Mama wa Rais walati huo. Baada ya kumpiga mkwara mwanae kwa nini kamtelekeza mwenzake waliye dai uhuru naye. Tetesi tu!
 
Alirudi na alikuwa dodoma hospital mpaka siku anaagwa jiwe, huyu mzee wa newala alikuwa mahututi kitandani,. Ngoja nipeleleze tena hali yake ikoje
Acha umbea, mzee hajarudi ila hajambo jkabisa anamalizia mazoezi ya mwisho baada ya kuyaacha magongo, tunategemea wiki ijayo atarudi bongo
 
Back
Top Bottom