beauty in me
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 161
- 134
- Thread starter
- #81
Hapana bossNaweza pata 50m
Hapana bossNaweza pata 50m
Wakati unaongea sisi tunaendelea kupiga kazimwizi lazima kuficha ficha mambo yake

Mmmmh riba ya mwendokasi,hapo mnasaidia nn sasa?EDNEY CREDIT CO LTD
Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu:
a) Mikopo ya dharura
b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara
c) Ada za shule.
- Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu sana.
- Muda wa marejesho ni kuanzia miezi mitatu hadi sita.
VIAMBATANISHO:
1. _KITAMBULISHO CHA TAIFA_
2. _KITAMBULISHO CHA KAZI_
3. _BARUA YA AJIRA NA KUTHIBITISHWA KAZINI_
4. _Taarifa ya mshahara ya miezi mitatu (salary slip)_
5. _BANK STATEMENT YA MIEZI MINNE_
6. _PASSPORT SIZE 2_
Fika ofsini kwetu Keko Dar
E-mail: edney@gmail.com
UPDATE:
Mkopo yote ni 40% kwa marejesho yote. Kiasi chochote utakachokopa utarejesha 40%
wakupiga kz hawapo jf, umeingia uku ina maana meza nyeupe hauna files na pesa ipo benki uliyokopa kila mwezi unairejeshea, kama pesa ni yako ukiweka 18% p.a kama nmb still utakua na profit nzur tu, lakini tokana na wewe umekopa ndo maana unatuwekea 40%Wakati unaongea sisi tunaendelea kupiga kazi![]()
![]()
![]()
Hujui maana ya mikopo ya dharura wewe istoshe mtu akija na vitu tunavyotaka anapata mkopo hapohapo so we take a big risk maana verification tunaifanya within minutes that being the case riba lazima iwe juu kidogo. Istoshe kuna wenzetu wanapiga riba ya 60% kwa miezi minne na bado watu wanamiminika kuchukua kutokana na dharura za hapa na pale.wakupiga kz hawapo jf, umeingia uku ina maana meza nyeupe hauna files na pesa ipo benki uliyokopa kila mwezi unairejeshea, kama pesa ni yako ukiweka 18% p.a kama nmb still utakua na profit nzur tu, lakini tokana na wewe umekopa ndo maana unatuwekea 40%
Subiri siku ukipata dharura utajua tunasaidia niniMmmmh riba ya mwendokasi,hapo mnasaidia nn sasa?
Subiri siku ukipata dharura utajua tunasaidia nini
sikatai kuwa mnasaidia watu bt riba ni kubwa, nipunguzie kidogo basi nije kukopaMimi Niko mkoani unanisaidiajeHujui maana ya mikopo ya dharura wewe istoshe mtu akija na vitu tunavyotaka anapata mkopo hapohapo so we take a big risk maana verification tunaifanya within minutes that being the case riba lazima iwe juu kidogo. Istoshe kuna wenzetu wanapiga riba ya 60% kwa miezi minne na bado watu wanamiminika kuchukua kutokana na dharura za hapa na pale.
Pia imagine wafanyakazi wa serikali wenye take home ya 230,000 unafikiri huyu mtu kuna bank ataenda kukopa apewe hata cent tano??? Hapo ameshafika ukomo wa mkopo lakini akija kwetu anaweza kuambulia hata laki tatu ya kutatua dharura aliyonayo wakati huo.
Ukikimbia na laki moja yetu je?Vitu vyote hivyo mpk barua ya Muajiri kwa laki1 tu?...dah!
Karibu![]()
![]()
sikatai kuwa mnasaidia watu bt riba ni kubwa, nipunguzie kidogo basi nije kukopa
Mkoa gani upo?Mimi Niko mkoani unanisaidiaje
DodomaMkoa gani upo?
Utanfanyia riba kias ganKaribu
Mm sasa hv nikitaka mikopo midogo ya mwaka mmoja naingia SMART. HawajawahiEv10 said:Kuna dada mmoja hapa alikuja kutangaza mkopo, hadi page ya nne kagoma kutaja kampuni na riba kakomaa mwenye shida aje pm.... Nikaenda pm nako hola kagoma kutaja ananiambia njoo whatsapp nikaona isiwe shida hii riba lazma ni asilimia elf moja
Mbona hapo juu kwenye bandiko lako umeandika riba ni asilimia 40% tuamini kipi mkuu?10% ila uwe mfanyakazi sio mjasiliamali
Mkuu hebu fafanua vizuri kidogo, hao smart ndio kina nani na wapo wapi?Mm sasa hv nikitaka mikopo midogo ya mwaka mmoja naingia SMART. Hawajawahi
niangusha riba 12% per year .
Kwa wafanya biashara hamkopeshi?Keko Dar