beauty in me
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 161
- 134
- Thread starter
- #61
Okay tuendelee basi make namie sina kazi
Enheee Kwahiyo kwa mwaka nalipa 120% dada afisa

Okay tuendelee basi make namie sina kazi
Enheee Kwahiyo kwa mwaka nalipa 120% dada afisa

Anza tu na wewe hujakatazwa au mtaji ndo shida??Hapana mkuu, kwa miezi sita ukichukua million basi urudishe million 1.4 ndani ya miezi sita.Faida ni Tshs 400000. Mkiwa kumi mtu ana milioni zake 4 kama faida ndani ya miezi sita...Mkiwa ishirini mtu ana milioni zake 8 kama faida ndani ya miezi sita! Jamani huo si wizi?
Siku ukipata shida ya dharura na huna pa kushika ndo utajua kama huu ni wizi au ni mkomboziHapana mkuu, kwa miezi sita ukichukua million basi urudishe million 1.4 ndani ya miezi sita.Faida ni Tshs 400000. Mkiwa kumi mtu ana milioni zake 4 kama faida ndani ya miezi sita...Mkiwa ishirini mtu ana milioni zake 8 kama faida ndani ya miezi sita! Jamani huo si wizi?
Hata wewe madame siku ukipata dharura usisite kunitafuta nitamwambia boss wangu akupunguzie ribaOkay tuendelee basi make namie sina kazi
Enheee Kwahiyo kwa mwaka nalipa 120% dada afisa
Hapa tu nna shida tayari dada Afisa npunguzie basiHata wewe madame siku ukipata dharura usisite kunitafuta nitamwambia boss wangu akupunguzie riba
Hongera kwa kuweza kufanya transactions na verification kwa dakika 15EDNEY CREDIT CO LTD
Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu:
a) Mikopo ya dharura
b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara
c) Ada za shule.
- Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu sana.
- Muda wa marejesho ni kuanzia miezi mitatu hadi sita.
VIAMBATANISHO:
1. _KITAMBULISHO CHA TAIFA_
2. _KITAMBULISHO CHA KAZI_
3. _BARUA YA AJIRA NA KUTHIBITISHWA KAZINI_
4. _Taarifa ya mshahara ya miezi mitatu (salary slip)_
5. _BANK STATEMENT YA MIEZI MINNE_
6. _PASSPORT SIZE 2_
Fika ofsini kwetu Keko Dar
E-mail: edney@gmail.com
UPDATE:
Mkopo yote ni 40% kwa marejesho yote. Kiasi chochote utakachokopa utarejesha 40%
Hapa tu nna shida tayari dada Afisa npunguzie basi
karibu sema shida yako kwetu hakuna kinachoshindikanaNdio ni swala la kupiga copy na kutuletea kumbuka tunakupa hela yetu ukitukimbia halaf hatuna kielelezo chochote tutakukamatia wapi?Hivyo vielelezo kama naombs visa ya UK au USA
Tumesaidia wengi sana wenye emergency na wametushukuru mno lakini mwingine humu anatuita wezi.Hongera kwa kuweza kufanya transactions na verification kwa dakika 15
Ila ni nzuri hasa kwa wenye emergencies

Mbona unanicheka![]()
![]()
karibu sema shida yako kwetu hakuna kinachoshindikana
I understand madamTumesaidia wengi sana wenye emergency na wametushukuru mno lakini mwingine humu anatuita wezi.
Unakuta mtu anauguliwa bima anayo ila mgonjwa wake kalazwa anatakiwa atoe elf 10 kila siku maybe mgonjwa kalazwa wiki tatu hiyo hela unafikiri kama hana ataitoa wapi?? Sisi ni mkombozi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thanks Sir but am just a loan officer I don't own any share in this companyI understand madam
Interest rate huwa inakua determined na vitu vingi mfano kwenye model hiyo lengo ni kusaidia kwenye emergency situations hivyó mikopo inakua na high risk. Hii inatokana na kutofanya due diligence ya kutosha so lazima upande wa pili kutakua na losses na zitakua zinafidiwa na hiyo riba.
All the best mkuu
Huna kazi ya kufanya?Jamani nimesema Riba ni 50% kama hamtaki msije waje wale wenye nia tu.

Karibu kwetu upatate kwa riba nafuuJamani anayejua riba za FINCA zikoje anijulishe