Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,366
- 3,561
Jamani nimesema Riba ni 50% kama hamtaki msije waje wale wenye nia tu.Riba 50% kwa nini
Jamani nimesema Riba ni 50% kama hamtaki msije waje wale wenye nia tu.Riba 50% kwa nini
Kampe babaako mkopo halafu mdai 50% interest. OverJamani nimesema Riba ni 50% kama hamtaki msije waje wale wenye nia tu.
Atakuwa tapeli huyu.
Kampe babaako mkopo halafu mdai 50% interest. Over
We si upo karibu hapo wafatilie kama ni kweli riba zao nafuu.Riba ni siri
Yah ni dhambi na ni haramu kwa MuislamRiba ni dhambi lkn naskia skia tu aliniambiaga mama angu faiza foxy
Nimeenda sahivi, ni nafuu asilima 80 tuWe si upo karibu hapo wafatilie kama ni kweli riba zao nafuu.
Duh kaongeza Mara hii. Maana ilikua 50%Nimeenda sahivi, ni nafuu asilima 80 tu
Teehteeheh kweli riba na-flue sana.Nimeenda sahivi, ni nafuu asilima 80 tu
Read between the lines mazafanta. Tatizo watanzania Elimu Elimu Elimu.Kampe babaako mkopo halafu mdai 50% interest. Over
Riba ni 10%Siyo rahisi ila nahisi hawa riba ni 80% tu
10% only kwa masharti nafuu sanaMbona mnakwepa kuweka % ya riba? Ukiiweka unitag
Ndo umeenda kuulizia leo?Riba ni 10%
Anasema riba nafuu halafu hasemi % ngapi ....kama sio utapeli ni nn?kujua riba ni muhimu kuliko mkopo wenyewe..
kuna bank nyingine ukichukua hapo mkopo...lazima ufilisike au ubaki kuwa hapo mtumwa wa kudumu..
kujua riba ni muhimu sana kwa mkopaji...au mjasiriamali
Keko DarOfisi zipo wapi??