beauty in me
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 161
- 134
- Thread starter
- #101
Wafanyabiashara wengi wamekosa uaminifu wa marejesho bado tunafikiria namna ya kuwasaidiaMbona vigezo vy a wafanya biashara kukopa hujaweka
Wafanyabiashara wengi wamekosa uaminifu wa marejesho bado tunafikiria namna ya kuwasaidiaMbona vigezo vy a wafanya biashara kukopa hujaweka
10% per month kwa miezi minne kwa miezi sita ni 50% marejesho hayazidi miezi sitaMbona hapo juu kwenye bandiko lako umeandika riba ni asilimia 40% tuamini kipi mkuu?
Sawa naomba namba za simu nikupigie sasa hivi.10% per month kwa miezi minne kwa miezi sita ni 50% marejesho hayazidi miezi sita
SMART wako posta jirani na ubalozi nafikri wa zambia opposite na tume ya maadili ya watumishi wa umma. Ukikopa mwaka 1 ribaMkuu hebu fafanua vizuri kidogo, hao smart ndio kina nani na wapo wapi?
Wenye shida na mikopo tupo wengi, tusaidiane kama kuna sehemu kuna unafuu wa upatikanaji wake na riba zake za chini.
Riba sawa na 1% kwa mweziSMART wako posta jirani na ubalozi nafikri wa zambia opposite na tume ya maadili ya watumishi wa umma. Ukikopa mwaka 1 riba
yao ni 12% kwa mwaka. Miaka ikiwa mingi na riba inakuwa kubwa pia. Kwahiyo wajanja tunakopa mwaka mmoja ukiisha tunachukua tena
Ahsante mkuu, nitakupa mrejesho.SMART wako posta jirani na ubalozi nafikri wa zambia opposite na tume ya maadili ya watumishi wa umma. Ukikopa mwaka 1 riba
yao ni 12% kwa mwaka. Miaka ikiwa mingi na riba inakuwa kubwa pia. Kwahiyo wajanja tunakopa mwaka mmoja ukiisha tunachukua tena
Kwa hiyo umeona ulete tangazo lako kwenye thread yanguSMART wako posta jirani na ubalozi nafikri wa zambia opposite na tume ya maadili ya watumishi wa umma. Ukikopa mwaka 1 riba
yao ni 12% kwa mwaka. Miaka ikiwa mingi na riba inakuwa kubwa pia. Kwahiyo wajanja tunakopa mwaka mmoja ukiisha tunachukua tena

Sio lazima, mm huwa nakopa hukoKwa hiyo umeona ulete tangazo lako kwenye thread yangu![]()
Ha ha ha haaaaa40% ya mkopo= Riba nafuu kwa muda wowote !!!! mh
piga mpaka ipasukeWakati unaongea sisi tunaendelea kupiga kazi![]()
![]()
![]()
Sawa sawapiga mpaka ipasuke
Mimi ntakuja kuchukua mkopo then nawajeukia, na 50% yenu.Msijali jamani. Karibuni ofisini kwetu. Riba ni 50% tu.
Karibu tena na tenaDadaa thank you ,nlipata hakuna longolongo.
Ahsante
Kubwa niniDuuuu, mbona kubwa ivo
Usisahau mkuu branch ya Mwanza mkikamilisha utaratibu.Kubwa nini
Kuna mtu alikuuliza huwa unakopa wapi?S
Sio lazima, mm huwa nakopa huko