Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,725
- 3,796
Fraudsters at work sio?I told you guys before ....... I smell rat ... its all a sham in this thread
be careful guys
Fraudsters at work sio?I told you guys before ....... I smell rat ... its all a sham in this thread
be careful guys
TogetherI smell something fishy.....
Huyo Malcom na mwenzake ni mtu mmoja... Anataka Jenga fake Credibility hapa JF kwamba ni muaminifu...
Siku ingine atakuja na story ya 50,000 laki and so on halafu atakuja mliza mtu amount kubwa ambayo hatakaa aisahau..
Take Care Guys
We jamaa mkudaaaNgoja nivute pumzi hadi kesho asubuhi nitaruji hapa kujifunza kitu.
Umenikumbusha ndugu, kuna kipindi nilikuwa na ela ndani sijaipeleka bank baada ya kufanya biashara flan.Nilifanya deal zangu nikawa na ziada ya 2M,
Mdada mmoja tulifanya kazi kampuni Moja alipata dharura,alijifungua kwa operation..hosptali wakawa wameacha gauze tumbon,tumbo linazid kukua wakati mtoto ametoka tayari.
Akafanya vipimo na kuonekana kuna gauze imebaki, ivyo inatakiwa operation nyingine..lakini hela Hana akaomba mkopo mwaka huu mwezi wa 4,kutoa gauze na kusafisha tumbo ni 1m akasema mume wake yuko nje akirud ndani ya 2 wks atarudisha.
nkampatia hela,Ila lol mpk leo.. MUNGU ndo anajua
Mwingine on same amount on same month!. Anafanyakaz office ya raisi alitumwa kwa mission akasema hajaingiziwa hela na muhimu kwenda kesho yake.tukaenda wote bank kutoa hela haikutoka yote ivyo nyingine ilibidi nimtumie kwa sim!!..
Toka mwezi huo mpk leo imekuwa story na excuse.last 2 weeks nilionana nae akasema wameingiziwa hela Ila yy ratiba yake iko tyt ivyo anipe ATM card yake nkatoe 1.5 nyingine ya usumbufu!.nkaondoka mpk bank kufika ana elfu4.
Since then hapokei sim zangu.
Watu kama hao unawasaidije???
Wanasahau kuna kesho,wanasahau shida Haina mwenyewe.
hapa nadaiwa laki 3 Ila week ya 2 naisaka bila mafanikio na njee kuna hela yangu nyingi.
Half empty thinking.......I told you guys before ....... I smell rat ... its all a sham in this thread
be careful guys
Some people are always negative and they'll always be negative..........I smell something fishy.....
Huyo Malcom na mwenzake ni mtu mmoja... Anataka Jenga fake Credibility hapa JF kwamba ni muaminifu...
Siku ingine atakuja na story ya 50,000 laki and so on halafu atakuja mliza mtu amount kubwa ambayo hatakaa aisahau..
Take Care Guys
Half empty thinking.......
I dont think so... jf kuna watu wengi kind na kutoa ni moyo unaweza ona 20,000 nyingi lakini aliyesaidiwa leo huwezi jua alikuwa na shida gani na in future anaweza kuja mfanyia jambo kubwa aliyemsaidiado you think this is how good Samaritans behaves ......
haaaa haaaa
this thread has been started by ring of early birth conmen
Mark my words
...Wanasahau kuna kesho,wanasahau shida Haina mwenyewe.
hapa nadaiwa laki 3 Ila week ya 2 naisaka bila mafanikio na njee kuna hela yangu nyingi.
.....salaaaleee;PUMBA!....aliekopeshwa ni active member humu toka 2008,kwa mwenye akili anajua what that means!I smell something fishy.....
Huyo Malcom na mwenzake ni mtu mmoja... Anataka Jenga fake Credibility hapa JF kwamba ni muaminifu...
Siku ingine atakuja na story ya 50,000 laki and so on halafu atakuja mliza mtu amount kubwa ambayo hatakaa aisahau..
Take Care Guys
.....salaaaleee;PUMBA!....aliekopeshwa ni active member humu toka 2008,kwa mwenye akili anajua what that means!
..we baki na hisia mfu na roho yako ya kimaskini!
mkuu nami pia nahitaji mkopo wa 30kHalf empty thinking.......
Hili ni tatizo sugu sasa hivi, ndio maana kila mara nawaambia watu kulipa madeni ni kipaji na sio kila mtu kajaliwa. Mtu anakopa alaf anataka arudishe akipata pesa ya ziada ambayo hana kazi nayo, nani kakwambia kuna pesa haina kazi?
Hata pale unapoamua kumsaidia mtu ni ile tu huruma sio kwamba hauna kazi na pesa. Unaazima mtu pesa alaf wewe ndio unaingia kwenye matatizo. Very sad, pole sana. Ayway we are on the same boat ila naogopa kuweka details za watu hapa wasijekuona nimeamua kuwaanika ila u SAMARIA umeniponza.
Pole sana hiyo ni changamoto ila isikufanye kushindwa kumsaidia mtu pale unapoweza kumsaidia kwani Mungu ni mwema atakulipaUmenikumbusha ndugu, kuna kipindi nilikuwa na ela ndani sijaipeleka bank baada ya kufanya biashara flan.
Basi kuna jamaa rafiki yangu alikuwaga anafunga mifumo flani kwenye nyumba na alikuwa anapenda kweli kujitangaza kwenye jukwaa hili ila siku hizi kaacha.
Akanipigia akaniambia nimsaidie laki nane atarudisha ndani ya siku tatu kakwama na ana kazi anahitaji vifaa.
Nikamtumia kwa simu.
Kesho yake akapiga tena nimuongezee lak na nusu eti badala ya kurudisha lak tisa na nusu atanipa milion moja na laki moja akimaliza kazi within two days mimi nikamjibu nakuongeza ila unirudishie kiasi nilichokupatia sitaki riba yako wewe rafiki yangu.
kesho yake jirani yangu naye akawa anadaiwa kodi mwenye nyumba kamkaba hatari akanifuata jamani nisaidie kama una lak tano ntakurudishia ilikuwa mwezi wa nne akasema atairudisha mwezi wa sita, nikaona mbali ila nikapiga moyo konde nikampatia mwenye nyumba maana alikuwa nje anamsubiri.
Sasa baada ya hapo yule wa laki tisa na nusu huyo hata simu zangu alikuwa hapokei.
Jirani yeye kila nikimkubusha anapiga sound mara nina mgonjwa mara hivi ukimtxt anajibu ok.
Siku akanipatia laki ilikuwa mwezi wa saba nadhani baada ya hapo kimya.
Nikaja sikia kachukua loan ya 24 mils nikasema now nalipwa kuja kumdai eti oh nilisahau nimenunua kiwanja sasa hivi sina ela.
Nikasema basi sidai tena na kuhama nilishahama ilikuwa mwaka jana.
Ila ajabu wote hao wawili wa laki tisa kuna siku kankpigia anaomba nimsaidie 50,000 nikamjibu sina huyo aliyekuwa jirani yeye ndiye kila mara anataka msaada sijui amesahau.
Nilipohamia sasa nikamkuta bwana bonge la msabato full dini nimekaa miezi miwili siku moja akaniomba nimsaidie laki tatu ilikuwa mwaka huu mwezi wa pili.
Nilimpatia lakini mpaka leo hajarudisha na hapa kahama msg hajibu simu hapokei.
Nimeamua kuacha kudai, natamani niwe na roho ya kutosaidia lakini mtu akiwa na shida na ela ninayo najikuta namsaidia.
Watu wengi si waaminifu
Ukweli kulipa ni mtihani na huyo unaye mkopesha ukiwa na shida hakukopeshi hudhani utapunguza ktk deni lako.Hili ni tatizo sugu sasa hivi, ndio maana kila mara nawaambia watu kulipa madeni ni kipaji na sio kila mtu kajaliwa. Mtu anakopa alaf anataka arudishe akipata pesa ya ziada ambayo hana kazi nayo, nani kakwambia kuna pesa haina kazi?
Hata pale unapoamua kumsaidia mtu ni ile tu huruma sio kwamba hauna kazi na pesa. Unaazima mtu pesa alaf wewe ndio unaingia kwenye matatizo. Very sad, pole sana. Ayway we are on the same boat ila naogopa kuweka details za watu hapa wasijekuona nimeamua kuwaanika ila u SAMARIA umeniponza.
Mkuu unamwandikisha shemeji yako.. DohBinadamu wamebakia wachache sana, wengi majambazi tu. Kuna siku alikuja shemeji yangu pamoja na dadangu, wanakieleza matatizo marefu kama treni ambayo yalihitaji Sh laki tano tu ili kutatua. Nikampa kwa maandishi kwa ahadi kuwa baada ya kama mwezi atarudisha. weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, aibu. Nimepiga simu, nimewatembelea, nimewashitakia kwa wazazi lakini mpaka leoooooooooo ni SIFURI.
Sitaki tena biashara ya kupeana peana pesa.
Wakija kwangu siku hizi nawaelekeza ama SACCOS au BENK.
Kwangu NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.