Mkopo mdogo wa fasta

Mkopo mdogo wa fasta

Umeona faida ya uaminifu,, nilidhulumiwa hela ya tenda kisa kumuamin mtu sikuandikishiana nar nikiamin n mtu mzima ..akajiona fahar kweli last month nikapewa tenda kubwa mara mbili ya wale nikaambiwa nimpe tenda nikamwambia bos huy mtu anadaiwa nemc hajarenew certificate ..kumbe n kwel nami nilibahatisha tu ..nikamnyima ile tenda na kijana wake nikamwandikia ripot mbovu akaondoka ktk ile ofis .....TUKIWAZA WALAU KIDOGO KUNA KESHO NA KUNA SHIDA BADO KWAN HAZITUISHI TUNGEBADILIKA NA KUWA WEMA KWA KWELI!
Ahaha ulimkomesha
 
Mie siku hizi nimekuwa mwoga kukopesha:

Siku hiyo bwana Fulani hivi tena ni Afisa Masoko Mkuu katika Kampuni Fulani kubwa tu, ilikuwa siku ya Jumamosi akanipigia simu kuwa naomba unikopeshe elfu 30 nimepata wageni kutoka kijijini nakuhakikishia Jumatano nitakurudishia, nikamwambia njoo hapa nyumbani kwangu nikupe, akaja nikampa; Lahaula! imepita miezi akiniona hata kwenye maeneo ya starehe, ananipungua tu halafu ananifanyia mkono ishara ya kusema wewe tulia tu au kama ananiambia tuliza boli! Simdai tena na wala sitamdai😀😀
 
1479371457665.png
 
Kipimo cha mtu ni utu. Kuna thamani kubwa sana katika imani. Malcom05 amenitumia pesa leo kama alivyoahidi..shukrani sana kwake....lakini kitu muhimu hapa si pesa....20k si kitu hata kidogo, bali kitu kikubwa nilichopata hapa ni kujifunza. Nimejifunza kuwa uaminifu ni kitu cha thamani ya juu sana.... Lazima tuwe na mioyo safi na kueaamini watu wengine kwa moyo mmoja. Tena, uaminifu si kwa tunaowafahamu tu....bali ni kwa kila mtu anayestahili.....you never know...tumeanza kwa kuazimana 20k leo....lakini tumejenga uaminifu....kesho tunaweza fanya makubwa pia. Once again, thanks Malcom05 kwa uaminifu.
 
Ni bahati sana kumpata mtu kama Malcom, tulio wengi uaminifu ni 0. Hongera zake na pia wewe ubarikiwe kwa kumsaidia Malcom
 
Kipimo cha mtu ni utu. Kuna thamani kubwa sana katika imani. Malcom05 amenitumia pesa leo kama alivyoahidi..shukrani sana kwake....lakini kitu muhimu hapa si pesa....20k si kitu hata kidogo, bali kitu kikubwa nilichopata hapa ni kujifunza. Nimejifunza kuwa uaminifu ni kitu cha thamani ya juu sana.... Lazima tuwe na mioyo safi na kueaamini watu wengine kwa moyo mmoja. Tena, uaminifu si kwa tunaowafahamu tu....bali ni kwa kila mtu anayestahili.....you never know...tumeanza kwa kuazimana 20k leo....lakini tumejenga uaminifu....kesho tunaweza fanya makubwa pia. Once again, thanks Malcom05 kwa uaminifu.
Mungu akuzidishie
 
But alisema atarudisha 25 ....kingine walau angeweka na makato basi maana hapo ukitoa unapata hasara na siku ya kumtumia ulikatwa pia ulipata hasara
 
Ni kweli Lakini hatujui walivyo Kubaliana PM......Nampongeza tu kwa uaminifu
 
ASANTENI wana JF, nimepata msaada na hili jambo limekwisha, mengine tunaendelea kuwasiliana naye.
 
Nilifanya deal zangu nikawa na ziada ya 2M,
Mdada mmoja tulifanya kazi kampuni Moja alipata dharura,alijifungua kwa operation..hosptali wakawa wameacha gauze tumbon,tumbo linazid kukua wakati mtoto ametoka tayari.
Akafanya vipimo na kuonekana kuna gauze imebaki, ivyo inatakiwa operation nyingine..lakini hela Hana akaomba mkopo mwaka huu mwezi wa 4,kutoa gauze na kusafisha tumbo ni 1m akasema mume wake yuko nje akirud ndani ya 2 wks atarudisha.
nkampatia hela,Ila lol mpk leo.. MUNGU ndo anajua
Mwingine on same amount on same month!. Anafanyakaz office ya raisi alitumwa kwa mission akasema hajaingiziwa hela na muhimu kwenda kesho yake.tukaenda wote bank kutoa hela haikutoka yote ivyo nyingine ilibidi nimtumie kwa sim!!..
Toka mwezi huo mpk leo imekuwa story na excuse.last 2 weeks nilionana nae akasema wameingiziwa hela Ila yy ratiba yake iko tyt ivyo anipe ATM card yake nkatoe 1.5 nyingine ya usumbufu!.nkaondoka mpk bank kufika ana elfu4.
Since then hapokei sim zangu.

Watu kama hao unawasaidije???

Wanasahau kuna kesho,wanasahau shida Haina mwenyewe.
hapa nadaiwa laki 3 Ila week ya 2 naisaka bila mafanikio na njee kuna hela yangu nyingi.
 
Hahahaha daah huyo jamaa kiboko.. Akakupa ATM kumbe ina elfu nne tu..

Binafsi nilikuwa nina hiyo roho ya kukopesha alafu narushwa lakini nakaa kimya tu.. Sasahivi ni bora uniombe nitakusaidia kama ninaweza ila ukitanguliza neno nikopeshe hapo hupati hata kumi yangu..
 
I smell something fishy.....

Huyo Malcom na mwenzake ni mtu mmoja... Anataka Jenga fake Credibility hapa JF kwamba ni muaminifu...

Siku ingine atakuja na story ya 50,000 laki and so on halafu atakuja mliza mtu amount kubwa ambayo hatakaa aisahau..

Take Care Guys
 
Naombeni mkopo wa Milioni 75 tu, nitarejesha biashara ikienda vema, mwakani au miaka mitano ijayo, vyovyote
 
I smell something fishy.....

Huyo Malcom na mwenzake ni mtu mmoja... Anataka Jenga fake Credibility hapa JF kwamba ni muaminifu...

Siku ingine atakuja na story ya 50,000 laki and so on halafu atakuja mliza mtu amount kubwa ambayo hatakaa aisahau..

Take Care Guys
Hisia tu 20,000 kumkopa mtu kitu gani bwana.
Amini ili uaminiwe tumejifunza upendo ndo maana hata kwenye majanga watu wanachangia.
 
I smell something fishy.....

Huyo Malcom na mwenzake ni mtu mmoja... Anataka Jenga fake Credibility hapa JF kwamba ni muaminifu...

Siku ingine atakuja na story ya 50,000 laki and so on halafu atakuja mliza mtu amount kubwa ambayo hatakaa aisahau..

Take Care Guys

I told you guys before ....... I smell rat ... its all a sham in this thread

be careful guys
 
Nilifanya deal zangu nikawa na ziada ya 2M,
Mdada mmoja tulifanya kazi kampuni Moja alipata dharura,alijifungua kwa operation..hosptali wakawa wameacha gauze tumbon,tumbo linazid kukua wakati mtoto ametoka tayari.
Akafanya vipimo na kuonekana kuna gauze imebaki, ivyo inatakiwa operation nyingine..lakini hela Hana akaomba mkopo mwaka huu mwezi wa 4,kutoa gauze na kusafisha tumbo ni 1m akasema mume wake yuko nje akirud ndani ya 2 wks atarudisha.
nkampatia hela,Ila lol mpk leo.. MUNGU ndo anajua
Mwingine on same amount on same month!. Anafanyakaz office ya raisi alitumwa kwa mission akasema hajaingiziwa hela na muhimu kwenda kesho yake.tukaenda wote bank kutoa hela haikutoka yote ivyo nyingine ilibidi nimtumie kwa sim!!..
Toka mwezi huo mpk leo imekuwa story na excuse.last 2 weeks nilionana nae akasema wameingiziwa hela Ila yy ratiba yake iko tyt ivyo anipe ATM card yake nkatoe 1.5 nyingine ya usumbufu!.nkaondoka mpk bank kufika ana elfu4.
Since then hapokei sim zangu.

Watu kama hao unawasaidije???

Wanasahau kuna kesho,wanasahau shida Haina mwenyewe.
hapa nadaiwa laki 3 Ila week ya 2 naisaka bila mafanikio na njee kuna hela yangu nyingi.
Binadamu wamebakia wachache sana, wengi majambazi tu. Kuna siku alikuja shemeji yangu pamoja na dadangu, wanakieleza matatizo marefu kama treni ambayo yalihitaji Sh laki tano tu ili kutatua. Nikampa kwa maandishi kwa ahadi kuwa baada ya kama mwezi atarudisha. weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, aibu. Nimepiga simu, nimewatembelea, nimewashitakia kwa wazazi lakini mpaka leoooooooooo ni SIFURI.
Sitaki tena biashara ya kupeana peana pesa.
Wakija kwangu siku hizi nawaelekeza ama SACCOS au BENK.
Kwangu NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom