mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,700
- 9,070
mkuu kama ulimtumia ubarikiwe sana kwa moyo wako mzuri
mkuu kama ulimtumia ubarikiwe sana kwa moyo wako mzuri
Duh??Duh uko bar gani kwani ?
Bili imekuja sh .ngapi ?
Hauna watu ambao watakupa kama kweli una uaminifu huo huko mtaani unafikiri huku tutakuaminije
Nilituma na natumaini Malcom05 atatimiza ahadi yake maana alisema leo atarejesha.mkuu kama ulimtumia ubarikiwe sana kwa moyo wako mzuri
Atarejesha tuuh!usiwe na ofuu,muda bado.Nilituma na natumaini Malcom05 atatimiza ahadi yake maana alisema leo atarejesha.
Wala sina shaka nae....natumaini atarejesha....nilimuamini na bado ninamuamini.Atarejesha tuuh!usiwe na ofuu,muda bado.
Wala sina shaka nae....natumaini atarejesha....nilimuamini na bado ninamuamini.
Kwa mara ya kwanza kuona mtu hatapeliw .....Wala sina shaka nae....natumaini atarejesha....nilimuamini na bado ninamuamini.
I actually don't know the guy personal.....but i always believe in giving people trust....wakti ninampa 20k nilifikiria pia kama kuna uwezekani wa kutorejeshwa kama mtu si mwaminifu.....but i always don't judge people negatively. I don't ever think negatively. I still have a very big faith to my bruv Malcom05......he's going to pay back na nitawapa mrejesho.Kwa mara ya kwanza kuona mtu hatapeliw .....
Nahisi unatabia zinazoshabihiana na mm 80% kwa kumuamini mtu ktk watu nilowaamin nikawakopesha ktk 10 nimelipwa na 1 ....kuna muda najutia sana kuna muda namshukuru Mungu ila sasa nikiwa na mm nina shida tena shida kuu nikamwomba mtu nisipopata nalia sana mana najikuta nakumbuka madeni yote na kuanza kuwasumbua but mwisho wa siku silipwi.....I actually don't know the guy personal.....but i always believe in giving people trust....wakti ninampa 20k nilifikiria pia kama kuna uwezekani wa kutorejeshwa kama mtu si mwaminifu.....but i always don't judge people negatively. I don't ever think negatively. I still have a very big faith to my bruv Malcom05......he's going to pay back na nitawapa mrejesho.
Same here, nimewapa watu pesa wakiwa na shida wengi tu lakini kulipa inakuwa ngumu.Nahisi unatabia zinazoshabihiana na mm 80% kwa kumuamini mtu ktk watu nilowaamin nikawakopesha ktk 10 nimelipwa na 1 ....kuna muda najutia sana kuna muda namshukuru Mungu ila sasa nikiwa na mm nina shida tena shida kuu nikamwomba mtu nisipopata nalia sana mana najikuta nakumbuka madeni yote na kuanza kuwasumbua but mwisho wa siku silipwi.....
....dadeki!..kweli username sio roho!Nilituma na natumaini Malcom05 atatimiza ahadi yake maana alisema leo atarejesha.