Mkopo kwa dhamana ya vyeti

Shukrani mkuu kwakuwatoa ofu watu humu ndani..mi nilianza kuwaileza kwa kiutaalam zaidi kuusu mikopo ila baadae nilitambua kua sio watu wote humu ndani ni Certified Professional Banker (CPB) holders hivyo nilijikuta nikiongea mwenyewe
Usilewe sifa ------- kuelimisha inatosha
 
DHAMANA YA AJIRA: Waziri wa Kazi na Ajira, G. Kabaka kwa kushirikiana na benki ya CRDB, awataka wasomi kuweka vyeti vyao dhamana ili kupata mkopo wa ajira CRDB.Mwenye uelewa na hili atujuze mana siwaelewi ndio wanataka watunyang'anye na vyeti?

Mkuu dadavua vizuri iyo system inaanza lini, au ndo imeshaanza na kama imeshaanza kuna watu wameshapewa izo pesa mi np tayari ata kesho.
 
Ya kweli haya? au kudanganyana tu.. maana watu wanavyeti chungu nzima.. sijui mkopo utaendana na thamani ya cheti i.e degree,ngazi ya cheti n.k.. yangu macho
 
Hiyo imetulia sana wanakopesha kuanzia kiasi gani wakuu? tuchangamkie fursa.
 
Inavyo unekana kumbe tatizo sio mkopo ila tatizo ni wazo la biashara kwani inaonekana wengi wetu uthubutu umekuwa tatizo,kama unaamuakuingia kwenye ujasiriamali ingia mzimamzima ndiomana wengi wetu kila tunachokifanya tunaona hakiwezekani, hivyo hivyo ndiomana wengi tunafikiria kushindwa kulipa mkopo.ila ungekuwa na wazo chanya la kibiashara usingefikiria kushindwa kulipa, hivyo vijana huu niukombozi kwetu na furusa hii tuitumie.
 
ndugu, mimi binafsi nilishaenda CRDB nikaambiwa mkopo huu unawahusu wahitimu kutoka SUA tu kwakuwa umebase kwenye kilimo kwanza sisi wahitimu wengine hatuhusiki. Tatizo la viongozi wetu hawafafanui mambo ktk uhalisia wake.
 
asanteni kwa kunijuza hili dili, Kesho saa nne asubuhi panapo majaliwa nitakuwa crdb kupata data za hii kitu kwani ndo njia ya kutoka kimaisha.
 
Shukrani mkuu kwakuwatoa ofu watu humu ndani..mi nilianza kuwaileza kwa kiutaalam zaidi kuusu mikopo ila baadae nilitambua kua sio watu wote humu ndani ni Certified Professional Banker (CPB) holders hivyo nilijikuta nikiongea mwenyewe

Jamaa unapenda sifa za kijinga
 
ndugu, mimi binafsi nilishaenda CRDB nikaambiwa mkopo huu unawahusu wahitimu kutoka SUA tu kwakuwa umebase kwenye kilimo kwanza sisi wahitimu wengine hatuhusiki. Tatizo la viongozi wetu hawafafanui mambo ktk uhalisia wake.

Lakini pia SUA hawasomi kilimo tu, kuna informatics, tourism, wildlife management n.k
 
Haaaahhh sasa wengine huku katika nyanja ya account ndio tulio wengi halafu kwanini wanatubania sasa duuhhh mmh hii kali sasa...
 
Back
Top Bottom