Mkonga wa mawasaliano ni kweli utatatua network problem zetu

Reality ni bado tupo nyuma na gharama ni kubwa sana katika matumizi ya internet..Tatizo letu Tz, tunapenda kusifu sifu upuuzi...nipo dar,maeneo tu ya ubungo-kibangu ila airtel ya 3.75g inanipa 56kbps.sasa huo si upuuuzi huo..mjini tu hapa, wanashindwa je huko vijijin itakuaje..ma mbulula ndo huwa wanasifia ujinga...
Nilijaribu kuwapigia customer care wao' eti wakaniambia, wanachokiangalia ni mjini kama Posta na sehemu za ushuani kama masaki, oystebay# sehemu nyingine hawana habari nazo..yule jamaa nilitaka nimtukane I swear,na hapo hapo nikahama airtel#vunja simcard yao..pumbaaaavu kabisa.
 
Back
Top Bottom