Mister mimi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 357
- 649
Yawezekana kweli mtu ana mapenzi na mtu au taasisi.lakini namna yake na hoja zake za uteteaji na usifiaji inatia mashaka, ni TOO MUCH!
Kumtetea mtu kwa sifa zinazopitiliza viwango.
Kusema hadi uongo kwa lengo tu la kusifia,hadi kumpa mtu sifa ambazo sio za kibinadamu ili tu kumpamba unayemsifia,kuna fanya automatically uonekane kama una shida mahali fulani.
Au unafanya hivyo ili upate kitu fulani,au unapata kitu fulani kwa kazi hiyo.
kama ni hivyo basi jitahidi uje na sifa zenye hoja zenye mantiki ambazo zitakuheshimisha wewe na unayependa watu wajue sifa zake.
sifa zingine hata kama ni mahaba,basi ni mahaba ya kizamani sana. yale ya kudanganyana kuwa,usiku silali nakesha nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye glass.
Maana kuna sifa zingine hata anayesifiwa akiona au akisikia anaweza akacheka tu kwa mshangao nakumuona anayemsifia sawa ana mapenzi naye ila ana upeo mdogo wa akili.