Mkojo: Uchavuzi au Rasilimali.

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,945
695
Kwa wale wanaopenda kukojoa misituni, ziwani or somewhere, imegundulika kuwa mkojo wa binadamu una uswezo wa kutumika katika magari mbalimbali.

Tafadhali msikubali kupoteza huo utajiri huko porini, angalia hiyo picha hapo chini ndipo utagundua kuwa lisemwalo lipo.

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • KOJOZ.bmp
    465 KB · Views: 208
  • Kojoa.jpg
    Kojoa.jpg
    58.6 KB · Views: 169

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
12,537
9,377
kwa hiyo mkuu gari lako unaweka kojo badala ya wese?? hahaha nadhani itakuwa imekupasa kuweka tanki la lita kadhaa bar ya jirani ili uweze kuvuna maliasili hii nyeti
 
Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,945
695
kwa hiyo mkuu gari lako unaweka kojo badala ya wese?? hahaha nadhani itakuwa imekupasa kuweka tanki la lita kadhaa bar ya jirani ili uweze kuvuna maliasili hii nyeti

Akichuali Kojo langu pekee ndo linakubalika kwenye gari yangu, niliifanyia modifikesheni......aaaahha...aaaaahhhaaa ....aaaaaahhaa :)
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom