Gazeti la habari leo-la serikali Dhaifu....!
Mi naamini wamezingua tu hili gazeti,naamini kwenye hiyo shule hayupo pekee,naomba anaefanya kazi na MKOBA shule moja atuambie kuwa jamaa alifika...Gazeti la uhuru na habari leo waache usanii..Waalimu waendelee kukaza tu.
"Vox populi,Vox dei"
kwangu mimi serikali ndio ya kisanii kwa nini waende mahakamani wakati wao ndio waajiri wameshindwa kutoa maamuzi ...nimemsikiliza ghsia ,mulugo na waziri mwenye dhamana wote wanaongea tofauti
Hatutaki tetesi sisi, Mtoa hoja lete ukurasa wa kitaabu cha mahudhurio cha huko ben mkapa hapa tuone.
Na hata hivyo walimu hawajamgomea Mkoba, wameigomea serikali.
nategemea ukiwa kama mwalimu ungewasiliana na mkoba akueleze ukweli zaid juu ya hili na sio kukasirika
Kasema magazeti ya asubuhi...Gazeti gani maana tuwe specific.
nategemea ukiwa kama mwalimu ungewasiliana na mkoba akueleze ukweli zaid juu ya hili na sio kukasirika
Kiongozi wa chama cha walimu (CWT) ametajwa kuweka sahihi yake katika kitabu cha mahudhurio ili kuepuka adhabu. Huu ndio usanii wa walimu na mgomo wao feki.
Source: Magazeti asubuhi hii
so anafundisha kwenye shule za binafsi na alikwenda kazini kama kawa sababu mwenye shule angemfuta kazi,AMA?Mukoba si mtumishi wa umma kama unavyofikiri.
Mukoba si mtumishi wa umma kama unavyofikiri.
Kiongozi wa chama cha walimu (CWT) ametajwa kuweka sahihi yake katika kitabu cha mahudhurio ili kuepuka adhabu. Huu ndio usanii wa walimu na mgomo wao feki.
Source: Magazeti asubuhi hii