MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

Status
Not open for further replies.
Gazeti la habari leo-la serikali Dhaifu....!
Mi naamini wamezingua tu hili gazeti,naamini kwenye hiyo shule hayupo pekee,naomba anaefanya kazi na MKOBA shule moja atuambie kuwa jamaa alifika...Gazeti la uhuru na habari leo waache usanii..Waalimu waendelee kukaza tu.
"Vox populi,Vox dei"

Hilo ndo neno mkuu.
 
sio kweli ni danganya toto ili walimu waone wamesalitiwa na kiongozi wao kazeni boot walimu msirudi nyuma na serikali ya kisanii hii
 
kwangu mimi serikali ndio ya kisanii kwa nini waende mahakamani wakati wao ndio waajiri wameshindwa kutoa maamuzi ...nimemsikiliza ghsia ,mulugo na waziri mwenye dhamana wote wanaongea tofauti


Umeonaee, bado kassim majaliwa nae atakuja na ya kwake. Serikali HOVYOOOOO kabisa.
 
Hatutaki tetesi sisi, Mtoa hoja lete ukurasa wa kitaabu cha mahudhurio cha huko ben mkapa hapa tuone.
Na hata hivyo walimu hawajamgomea Mkoba, wameigomea serikali.

nategemea ukiwa kama mwalimu ungewasiliana na mkoba akueleze ukweli zaid juu ya hili na sio kukasirika
 
Ningefurahi kama huu mgomo ungewagusa watoto wa vigogo,wanao lipa 5,000,000
kwa mwaka kwa elimu ya primary.
Lakini wanaokosa masomo ni walewale walio
nje ya system wanyonge,walalahoi....
 
Kiongozi wa chama cha walimu (CWT) ametajwa kuweka sahihi yake katika kitabu cha mahudhurio ili kuepuka adhabu. Huu ndio usanii wa walimu na mgomo wao feki.

Source: Magazeti asubuhi hii

Porojo hizo. Rais au katibu wa CWT hawafundishi
 
mgomo wa waalimu umepangwa ili kutuondoa katika matukio ya msingi yaliyotikisa nchi ambayo ni pamoja na...
mgogoro wa madaktari na serikali
kutekwa na kuteswa kwa Dr ulimboka
wahusika waliotajwa kuhusika na unyama aliofanyiwa Dr ulimboka
kuzama kwa meli ya segull
sera mpya ya mafao haswa kwa NSSF

toka lini walimu na serikali ya ccm wameanza kuhasimiana?
 
Jamani taarifa nyingine muwe mna amngalia soure zake. Gazeti lililo andika hivyo ni la Uhuru ambalo ni la CCM. What do U expect on its validity. Mnao amini hiyo kuwa ni source nzuri kwenu poleni sana. Mtaendelea kudanganywa sana.
 
Mukoba si mtumishi wa umma kama unavyofikiri.

mkuu! ivi hawa watumishi wa umma hawawezi kusimama wao kama wao mana naona kila harakati wanafanyiwa na mtu wa nje! ivi kweli hawa watumishi wa umma hawana uwezo wakujipanga wenyewe haswaa mana matatizo yana wakabili wao directly! huyu mukoba anawaibia tu walimu mana walimu wana miradi mbona hatuioni ikiwanufaishaa na wala hawaipigii kelele, mfano jengo la walimu pale ilala linawanufaisha kitu gani walimu? kama si viongozi wa cwt kuwa wanachakachua! watumishi wauma wajipange kwa kweli mana la sivo elimu yao itakuwa bado haija wakomboa.
 
Kiongozi wa chama cha walimu (CWT) ametajwa kuweka sahihi yake katika kitabu cha mahudhurio ili kuepuka adhabu. Huu ndio usanii wa walimu na mgomo wao feki.

Source: Magazeti asubuhi hii

We acha propaganda, twende na fact!
To general,
yaani na wewe umeshindwa kupembua mambo umebeba kama lilivyo,
Ni gazeti gani? yapo magazeti ambayo tunategemea yanaweza kuandika huo upuuzi, taja watu tujue ni lipi? au we ndo mhariri wa hilo gazeti?
 
mkoba ni board member wa NHIF unategemea ana shida kama wanazopata walimu?
 
walimu wasipokuwa macho wanaweza kuwa victims wa siasa za 'divide and rule'
 
kwa mujibu wa ITV waalimu wameendelea na mgomo huku wakifika kusaini na kuondoka.ni wazi style hii wameiiga kutoka kwa kiongozi wao mkoba.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom