Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Mkuu, huyu mtoto wa dada yangu yupo sahihi?Kama chato iwe Magufuli basi makao makuu yawe mwendazake
Swissme
Enzi za Mwendazake Mpwa wako angetekwa na Kupimwa Mkojo kama sio Kung'olewa KuchaGood evening jamiiforums.
Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Akili za BangiGood evening jamiiforums.
Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Naunga mkono hojaGood evening jamiiforums.
Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Mkuu, huyu mtoto wa dada yangu yupo sahihi?
Akili za Bangi
Umekuwa hauna tofauti na washabiki wa ndondo cup, niishie hapo.Good evening jamiiforums.
Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Kweli wewe umepitwa na wakati yaani mkoa uitwe jina la Rais?Good evening jamiiforums.
Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Umeonaeeeeee?Kwa leo umeyumba pakubwa mno
Mkuu bange uliyovuta leo imechanganywa na kinyesi itakuwaGood evening jamiiforums.
Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Hivi watu wenye mawazo haya wanawaza kwa kutumia nini?Good evening jamiiforums.