Mkoa unaotoka hiki chakula kinapatikana? Mnakiitaje?

Mkoa unaotoka hiki chakula kinapatikana? Mnakiitaje?

Umwerani tunaviita VITINDU AU VITUNDI..

moja kati ya hilo
 
Tunaita " fitugu" ila yana ladha mbovu sana haya madude, tunalia njaa tu.
Mimi ndio kwanza leo nakifahamu na sikuwahi kufahamu kama Tanzania kuna kitu kama hiki.
Kwa hiyo hata muogo una ladha tamu kuzidi hiki kiazi kikuu?
 
Havina ladha ila vina asili ya mizizi. Pia, vina PAWA ya 5G sio mchezo.
 
Mbna hapo pichani ni tofauti kabisaa. Hicho ni Kiyau yau, tofauti kabisa na makaba,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom