Mkoa maskini kuliko yote Tanzania

Mkoa maskini kuliko yote Tanzania

Hakuna mkoa maskini TZ. Ila tuna umaskini wa AKILI kwa viongozi wetu, especially kiranja mkuu, yeye ndio hakuna kitu kabisa, kichwa kimejaa upepo, ndio maana tumefika hapa tulipo, lakini tukiwatoa ccm na kuweka mfumo mzuri, tutafika mbali sana kimaendeleo.
 
Ukisema WANYAMWEZI, basi na mie nimo.

Mimi na familia yetu nzima ya SIKONGE, hakuna hata mmoja anayefuga nyuki wala kulima tumbaku. Ila umeandika Wanyamwezi akili zetu?!?!?! sintataka kurudia.

Next time just come smart and never ever again generalize. Pia kama dogo, wewe kweli ni dogo aka NYANDA maana uandishi wako tu unaona ndiyo matunda ya CCM. Wengine hapa tumeona CCM inapopandishwa bendera yake mwaka 1977.

Kwa hiyo mambo ya kuja hapa kujifanya umeshakuwa Grown As* Man, waachie Ngosha wa ukweli. Na hizo Fedha zako naona unalinganisha na hao Masikini waliokuzunguka hapo. Njoo hapa Sikonge uulize Zee le Unga ndiyo utajua mie ni nani hihihiii........ Haya bana, tuache utani na tuje kwenye swala lenyewe......

NINI KIFANYIKE KWA MIKOA MASIKINI? Tuijumlishe yote na tuanzie hapo. Hili la nani masikini zaidi, si msaada kabisa.
Kwa hiyo wewe ndio Tabora nzima?

Unaweza ukajaza ukurasa lkn bado suala likarudi pale pale kuwa naizungumzia Tabora na si mtu mmoja. Mimi sina dharau nimesema ukweli tu. Wewe umekurupuka mbio, ooh mimi nafuga samaki. Sawa, wewe mmoja ukiwa na gitaa nyumbani kwako ndio tupigie mstari kuwa watu wa Tabora woote ni wanakwaya?

Halafu mimi sina HELA dogo slow down, mimi nina FEDHA. Hela zinakaa mfukoni na mimi sina mfuko nina akaunti
 
Kuna mtu ashawahi kufika Katavi humu jamvini...?


Na wewe bwana....!!! Kufika wakati ndiyo nyumbani pale maeneo ya Makanyagio, Kawajense, Majengo, Kazima, Majengo mapya, Misunkumilo, MpandaHotel, Kashaulili, Msasani (ndiyo nimezaliwa hapo), Tambuka reli, Kasimba, Ilembo, Kigamboni, Mikocheni, Shanwe ni baadhi tu ya maeneo maarufu ukiwa Mpada, Makao makuu ya mkoa mpya wa katavi. Sema, unataka kusema nini sasa? kwamba sisi ndiyo maskini wa Mwisho Tz?
 
Poverty can be measured in different ways, one of them is by the poverty head count ratio (PHCR) is used. The PHCR is the proportion of the population whose incomes are below the official poverty line. The results from the second Household Budget Survey conducted in 2007 indicate that Tabora (12.1 %) and Dar es Salam (17.5 %) have the smallest poverty head count ratio, and Dodoma (35.3 %) and Singida (33.8 %) have the highest percent of the population living below the poverty line. In conclusion, Dodoma is the poorest region in Tanzania, full stop!!!
umetisha sana mkuu yaaani you never relied on assumptions full data to final conclusion
 
Dodoma wanatisha kwa umaskini! ila tatizo kubwa zaidi ni kwamba hawajijui kama wao ni maskini... na huko ndio chama cha mafisadi kimeshika hatamu kweli kweli
 
Na wewe bwana....!!! Kufika wakati ndiyo nyumbani pale maeneo ya Makanyagio, Kawajense, Majengo, Kazima, Majengo mapya, Misunkumilo, MpandaHotel, Kashaulili, Msasani (ndiyo nimezaliwa hapo), Tambuka reli, Kasimba, Ilembo, Kigamboni, Mikocheni, Shanwe ni baadhi tu ya maeneo maarufu ukiwa Mpada, Makao makuu ya mkoa mpya wa katavi. Sema, unataka kusema nini sasa? kwamba sisi ndiyo maskini wa Mwisho Tz?
STK ONE achana na huyo kajisikia tu kuitaja Katavi........
 
Last edited by a moderator:
rukwa sina uhakika kama si masikini, ukiwaona wananchi wa vijijini utagundua umasikini wake ni wa kiwango gani.
 
Poverty can be measured in different ways, one of them is to use the Poverty Head Count Ratio (PHCR); which is the proportion of the population whose incomes are below the official poverty line. The results from the second Household Budget Survey conducted in 2007 indicate that Tabora (12.1 %) and Dar es Salam (17.5 %) have the smallest poverty head count ratio, and Dodoma (35.3 %) and Singida (33.8 %) have the highest percent of the population living below the poverty line. In conclusion, Dodoma is the poorest region in Tanzania, full stop!!!

ndio maana dodoma kuna kina matonya wengi sana-utadhan si capital city
singida ni mkoa pekee ambao nimekutana na ombaomba wazee sana-may be wana umri kuanzia miaka 65 kuendelea-
sijawahi kutana na wabibi+wababu wengi wakiwa sehem moja kwa wingi wakiombaomba hela kama singida-KIFUPI NI AIBU-MAANA HATA UKIACHA SODA NUSU-MEZANI(BAR)WANAIFWATA NA KUINYWA
 
Sidhani kama mtwara na Lindi zitachomoka hapa!


Mkuu hii mikoa nina uhakika umeitaja tu na wala hifahamu vizuri au hujawahi hata kufika kabisa. Haujaitendea haki kuiweka katika hii sehemu. Ukuaji wa shghuli za kiuchumi na maendeleo katika mikoa hii ni kubwa sana tofauti na watu jinsi wanavyojiaminisha.

Nadhani mikoa ya mwisho inaweza kuwa ktk trend hii: Dodoma-Singida-Shinyanga-Tabora............
 
Mungu tunasuru na Mkoa wa Singida kwa kina Tundu Lissu, mkoa mgumu sijapatakuona.

Nilijaribu kuwekeza huko nilifungua kakituo ka mafuta kwa siku unauza Lita 20.

Ndio maana Lissu anaamua kujichimbia Dar.

Na Mh.Lazaro Nyalandu je... Mpaka Wamarekani wanataka kumpa uraia..
 
Hii mada inakuwa ngumu kwa sababu,
1. Wachabgiaji wengi hawana data za mikoa husika... Achilia mbali kufika..(Mf. Wanaotaja Mtwara)

2. Wengine wanaamua kuponda makusudi mikoa kwa sababu tu za kuchukia makabila yaliyoko huko...
 
rukwa sina uhakika kama si masikini, ukiwaona wananchi wa vijijini utagundua umasikini wake ni wa kiwango gani.
Acha bangi wewe, umefika Rukwa au unaongea tu. Bwana simaye kama hujafika njoo uone namna watu wanavyoishi vizuri huku.......
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama mtwara na Lindi zitachomoka hapa!

Dodoma jee, kusingepelekwa makao makuu ya chama na serikali na kupita reli ya kati, kungekuwaje? lakini mimi bado naunga mkono Tabora kuwa ndio mkoa masikini kupita yote tanganyika. Hata ligi kuu hawana! Mikoa yenye ajira ya nguvu na day waka la nguvu ni, DSM, Mwanza, Arusha na kidogo Mbeaya.

Mkoa uriokuwa na ajira nzuri na halafu kudhulumiwa ajira hizo na wanasiasa wezi ni Iringa. Iringa kulikuwa na mang'ura mashine tools kiwanda kilichokuwa kikubwa na kinatoa ajira nzuri. Halafu Mugololo nako kulikuwa na ajira nzuri. mikoa tajiri lakini watu masikini ni mtwara na Lindi. huko kuna desi na dhahabu.

Mkoa wenye maneno mengi lakini hakuna viwanda ni Ruvuma!
 
Singida, Tabora, Mtwara, Lindi, Dodoma, Tabora, Shinyanga, Manyara, na Bukoba
 
Back
Top Bottom