Kwa hiyo wewe ndio Tabora nzima?
Unaweza ukajaza ukurasa lkn bado suala likarudi pale pale kuwa naizungumzia Tabora na si mtu mmoja. Mimi sina dharau nimesema ukweli tu. Wewe umekurupuka mbio, ooh mimi nafuga samaki. Sawa, wewe mmoja ukiwa na gitaa nyumbani kwako ndio tupigie mstari kuwa watu wa Tabora woote ni wanakwaya?
Halafu mimi sina HELA dogo slow down, mimi nina FEDHA. Hela zinakaa mfukoni na mimi sina mfuko nina akaunti
Arusha make wananchi wake hawana hata mavazi wanaishia kujifunika shuka
Kuna mtu ashawahi kufika Katavi humu jamvini...?
singida, na dodoma zinaogopesha, zinatisha, zinatia huruma.
Dar es Salaam ni mkoa maskini kabisa Tz. Asilimia kubwa yawakaziwanalala nje kwenye maboksi na kula mlo mmoja tu.
Arusha make wananchi wake hawana hata mavazi wanaishia kujifunika shuka
Mkuu huko kunaitwa kujifariji na kujiliwaza...Dar es Salaam ndio kila kitu Tanzania.
Kila kitu kwa nino. Au utajiri ni watu kuishi mabondwni?
Mungu tunasuru na Mkoa wa Singida kwa kina Tundu Lissu, mkoa mgumu sijapatakuona.
Nilijaribu kuwekeza huko nilifungua kakituo ka mafuta kwa siku unauza Lita 20.
Ndio maana Lissu anaamua kujichimbia Dar.
Hajui kama Billionea Mohamed Dewji ni Mbunge wa Singida mjini.Lisu ndio mbunge wa majimbo yote ya Singida vile eeh?!!
Sidhani kama mtwara na Lindi zitachomoka hapa!
Hajui kama Billionea Mohamed Dewji ni Mbunge wa Singida mjini.