Mkoa maskini kuliko yote Tanzania

mashini

Member
May 4, 2012
72
10
Habari wana JF;

Naombeni mnisaidie,

Ni mkoa upi masikini kuliko yote Tanzania; na nini mchango wa siasa za Tanzania kuimarisha uchumi wa mkoa huo?

Natanguliza shukurani zangu kwa michango yenu.
 
Umaskini wa nini unaozungumzia?

Kama wa Rasilimali, sijui. Lkn kama umaskini unaotokana na occupants wa mkoa wenyewe, basi ni Tabora. Mtu mzima na akili zako huwezi kuishi utegemee nyuki wakulishe. Wanyamwezi mpoooooo! Nakaribisha matusi kwa kuwa najua ukweli unauma
 
Habari wana JF; Naombeni mnisaidie, ni upi mkoa maskini kuliko yote Tanzania; na nini mchango wa siasa za Tanzania kuimimarisha uchumi wa mkoa huo?

Natanguliza shukurani zangu kwa michango yenu.

Shinyanga ndo mkoa maskini kuliko yote tanzania na ndo mkoa tajiri kuliko yote tanzania ...

sasa wewe tafakari inakuwaje hapo.

Tabora ni maskini kutokana na njaa zao za kupewa mahindi ya siku moja na ccm na kugawa kura zao.
 
Tabora waliambiwa walime tumbaku kwa wingi, wakalima alafu wakakosa pa kuuzia hiyo tumbaku yao, huku tayari washakopa pembejeo za kilimo, yaani hata ukiuza tumbaku yote bado unadaiwa kudadeki..!

Na ardhi yao washaiharibu haimei mazao mengine kudadeki. Alafu mkakati wa kidunia ni TUMBAKU ATARI KWA AFYA YAKO.

Fungua macho hapo.
 
Umaskini wa nini unaozungumzia?

Kama wa Rasilimali, sijui. Lkn kama umaskini unaotokana na occupants wa mkoa wenyewe, basi ni Tabora. Mtu mzima na akili zako huwezi kuishi utegemee nyuki wakulishe. Wanyamwezi mpoooooo! Nakaribisha matusi kwa kuwa najua ukweli unauma

Hahahaaaa! That's incredible......"huwezi kutegema nyuki wakulishe..." imeniacha hoi
 
mwisho wa reli nao hapa hawaponi! Umasikini umewazidi mpaka hawaaminiki tena; hata wakipata mali hapo baadaye hawaamini kama ni zao!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Umaskini wa nini unaozungumzia?

Kama wa Rasilimali, sijui. Lkn kama umaskini unaotokana na occupants wa mkoa wenyewe, basi ni Tabora. Mtu mzima na akili zako huwezi kuishi utegemee nyuki wakulishe. Wanyamwezi mpoooooo! Nakaribisha matusi kwa kuwa najua ukweli unauma

Mndengereko mieeeeeee! Nitafilisika kila kitu lakini siyo MANENO....

nimeamini.......

Shinyanga ndo mkoa maskini kuliko yote tanzania na ndo mkoa tajiri kuliko yote tanzania ...

sasa wewe tafakari inakuwaje hapo.

Tabora ni maskini kutokana na njaa zao za kupewa mahindi ya siku moja na ccm na kugawa kura zao.

hivi ng'ombe, pamba na mpunga haviangaliwi au ni madini yanayotajirisha ccm tu.
 
Sidhani kama mtwara na Lindi zitachomoka hapa!

kwa africa mashariki miji unaokua haraka sana ni mtwara na lindi hii niliipata kwa mzungu mmoja amekaa africa mashariki kwa muda mwingi na kwa wakati huo alikuwaanakimbilia mikoa hiyo kwa uwekezaji
kwa mujibu wa taarifa za waziri mkuu mkoa wa mwisho ni singida ukifuatiwa na dodoma kwetu
 
Back
Top Bottom