ngaranumbe
Senior Member
- Apr 16, 2012
- 148
- 39
Mkoa masikini ni No 1 ni Kilimamnjaro ( kigezo watoto=mtu huoa mke mmoja na kuzaa watoto 1-3 kwa takwimu za sensa iliyopita.
Mwingine kwa umasikini ni Dar ambapo kiasili mkoa ni wa wazaramo wanaosukumwa nje ya mji kadri Dar inavyojengwa(kigezo starehe= wanacheza ngoma ya mdundiko mwaka mzima na watoto hawaendi shule).
Mkoa tajiri zaidi ni Kigoma(kigezo ni watoto=ambapo mwanamme anakuwa na watoto 30+ ) ila hawaendi shule.
Mwingine kwa utajiri ni shinyanga (kigezo+ng'ombe na watoto= mtu mmoja anaweza kumiliki ng'ome 3000+ na watoto 20+) ila analalia ngozi na watoto hawaendi shule.