Mzee wa Uvinza
Member
- Mar 8, 2026
- 91
- 237
Siku moja tembelea chocho za kitunda relini, kuna dago moja linaitwa Paradise, Napatikana sana mitaa hiyoDah ni vizuri kuweka utaratibu wa kufahamiana na watu,nimejifunza kitu
Siku moja tembelea chocho za kitunda relini, kuna dago moja linaitwa Paradise, Napatikana sana mitaa hiyoDah ni vizuri kuweka utaratibu wa kufahamiana na watu,nimejifunza kitu
Poapoa mkuuSiku moja tembelea chocho za kitunda relini, kuna dago moja linaitwa Paradise, Napatikana sana mitaa hiyo
umeijuaje ibungo?Hakunaaaa😅
Niliwaahi kwenda na rafiki yangu halafu huyu mleta mada kuna siku alisema kua yuko hapoumeijuaje ibungo?
niunganishe rafiki ako nimuoeNiliwaahi kwenda na rafiki yangu halafu huyu mleta mada kuna siku alisema kua yuko hapo
Ameolewa tayaliniunganishe rafiki ako nimuoe
jesuuuu huna mwingine kipenzi?Ameolewa tayali
Sina pole😢jesuuuu huna mwingine kipenzi?
ushaanza kuzinguaSina pole😢
Kama rahisi we mbona umekosa huko😏ushaanza kuzingua
unanichamba sio asubuh njemaKama rahisi we mbona umekosa huko😏
Uninichokoza mwenyewe ujue😅unanichamba sio asubuh njema
Hii unapotelea humo kama hauna mapafu ya punda bamnyogodeHii Mamsi ni piru bamnyong'ode