Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,568
- 18,607
- Thread starter
- #41
Yaani nianze kukutafuta, unataka kunikabaZunguka nyuma kwenye jiko la kitimoto
Yaani nianze kukutafuta, unataka kunikabaZunguka nyuma kwenye jiko la kitimoto
Kwa umri wako hutakiwi kuogopa mkuu, njoo upate kilo ya mdudu😁Yaani nianze kukutafuta, unataka kunikaba
The best commentFurahia weekend
Kwamba umeona sisi ndio tunapenda sana offer?Seran na Binti wa zamani changamkeni offer...
Hapana mkuu ,ni kualikana tu,hebu kama upo Dar njoo.Kwamba umeoma sisi ndio tunapenda sana offer?
Nataka nioneshwe masufuria ya plastic tu! 😁Huyo Seran navyomtaka sasa natamani angekuja ,aseme anataka afanyiwe nini kwenye maisha yake,
Mimi nina kazi alfajiri sana mkuu, next time nitasogea!asante🙏🏽Hapana mkuu ,ni kualikana tu,hebu kama upo Dar njoo.
Safi kuwa na Amani I hope tutakuwa wote. But sogea PMMimi nina kazi alfajiri sana mkuu, next time nitasogea!asante🙏🏽
Wewe ni wa muhimu, sijajua kama ni mwanamke ila ikiwa wewe ni ke ,haaaaaa sema unataka niniNataka nioneshwe masufuria ya plastic tu! 😁
Anyways, why me??
Ntasogea ukiwa sober, relax kula maisha kwanza mkuu!Safi kuwa na Amani I hope tutakuwa wote. But sogea PM
Hahaaa nna elements za ke na me au? Nataka uenjoy weekend yako mkuu!Wewe ni wa muhimu, sijajua kama ni mwanamke ila ikiwa wewe ni ke ,haaaaaa sema unataka nini
Ngoja nipate ka wine ka hivi , pombe nzito nzito nastaafu kwa mda
View attachment 3597160
Nakunywa za Moto tuKwann usiwe unaiita moja moja nyingine ibaki kwenye friji
Ubungo riverside Mikasa bar
Hahaaa nna elements za ke na me au? Nataka uenjoy weekend yako mkuu!
Oyaaa 🔥Kiwanja changu cha zamani, kiwanja kikali sana hicho, full package.
Mbona unanitisha 🤔Hahaaa nna elements za ke na me au? Nataka uenjoy weekend yako mkuu!
Kivipi tena?Mbona unanitisha 🤔