Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,565
- 18,600
- Thread starter
- #61
Why uwe dual genderKivipi tena?
Why uwe dual genderKivipi tena?
Mkuu umeuliza mwenyewe kama ni me au ke, ndio nmeuliza unaona naandika kijenda ipi? Au tuongee kesho ukiwa sober!Why uwe dual gender
Asante, ila hivyo vitu situmii mkuu!Seran na Binti wa zamani changamkeni offer...
Sober ya wapi ?Mkuu umeuliza mwenyewe kama ni me au ke, ndio nmeuliza unaona naandika kijenda ipi? Au tuongee kesho ukiwa sober!
Kesho mkuu!🫢Sober ya wapi ?
Nitafute dadaKesho mkuu!🫢
Kwa nini bwashee?Nimecheka sio poa mkuu! 😁
Kwa nini bwashee?
Mapupu kg 85 bwasheeHuo mzigo haumwelemei kweli huyo dada kweli?
Mlokole sema nini ,ukitulia niambie unataka niniAsante, ila hivyo vitu situmii mkuu!
nichek pm kesho tukale mbuzi katoliki@secretarybird,Monetary doctor,dosho12
unakumbuka ulipovamiwa na mipunga ukaacha bia ukatimkia nyumbani mzee wa esther?Niko tu uchochoroni,
Siziwezi hekaheka za vijana Mimi Mzee wenu,nipo mahali nimejibanza napata local beer
View attachment 3597142
utakuwa ulisoma NIT nipo movick hapaLeo haupo ibungo 😅
Vipi akitaka kichwa chako kama yule wa kwenye biblia?Huyo Seran navyomtaka sasa natamani angekuja ,aseme anataka afanyiwe nini kwenye maisha yake,
Hakunaaaa😅utakuwa ulisoma NIT nipo movick hapa
😆😆Kwamba umeona sisi ndio tunapenda sana offer?
Hii Mamsi ni piru bamnyong'odeNgoja nipate ka wine ka hivi , pombe nzito nzito nastaafu kwa mda
View attachment 3597160
Ubugiaji mwema.Niko tu uchochoroni,
Siziwezi hekaheka za vijana Mimi Mzee wenu,nipo mahali nimejibanza napata local beer
View attachment 3597142